haki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kisasi ni haki, Yanga dhidi ya Rivers moto utawaka

    Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili ktk mazingira tofauti. Rivers walikutana na yanga iliyokuwa bado inajitafuta, ilikuwa ndio...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, weledi wenu hauishii kwenye kubeba Bunduki bali mpaka kwenye Kulinda haki za Watuhumiwa huko Mahabusu kwenu

    Mtu kua Mtuhumiwa, hakumfanyi kupoteza Haki zake za Msingi za Kibinadamu. Ifike Mahali habari za Mtuhumiwa Kufia mikononi mwao Polisi zikome Mara Moja. Hizi porojo porojo za Mara alipoenda kutuonyesha Silaha, ghafla akataka kukimbia, Mara alipoenda kutuonyesha Silaha, mara akampokonya askari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ushoga na haki za mwanamke na watoto ni watoto pacha

    Binadamu na viumbe wengine wana tabia kuu zinazofanana. Viumbe wote wanazaa, kula, kuhema, kuhisi, kutoa uchafu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tabia zote hizi huwezi kuzizuia Wala kuziruhusu zitokee kwa utashi wa viumbe vyenyewe, hutokea automatically chini ya autonomic nervous...
  5. Maguguma

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Manzeye Wilayani Mbinga hakina umeme, baadhi ya maeneo watakiwa kununua haki zao

    Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma. Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kujirekebisha kwanza katika suala la haki za binadamu

    Hivi karibuni Marekani ilitoa “Ripoti ya Haki za Kibinadamu katika Nchi mbalimbali Duniani”, na kulaani baadhi ya nchi kwa kutofanya vizuri katika kulinda haki za binadamu. Marekani hutoa ripoti kama hiyo kila mwaka. Lakini ukweli ni kwamba, utekelezaji wa haki za binadamu katika nchi moja...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda athibitisha maneno ya bibi Titi kuwa wanaume ni waoga kwenye kupambania Uhuru, Haki na Demokrasia

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa Magufuli mlilazimisha nchi iambiwe anaumwa nini ila kwa mwasisi wa chama chenu mnaheshimu haki ya usiri wa mgonjwa

    Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa. =========== Akitoa salamu za rambirambi mbele ya familia ya marehemu, Mnyika amesema Masinde alifariki kwa ugonjwa wa...
  9. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Video ya watoto inayotrend kwenye mitandao ya kijamii yazua gumzo hii ni haki au?

  10. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

    Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA". Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali." Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani. Bila...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Interview kwa watoto wanaoingia Nusery School ni haki kweli?

    Mimi nina mwanangu ana miaka 4 alikuwa hajaanza shule kwa kweli maana nilikuwa namuona kama ni mdogo sana bado. Sasa, sasahivi ndo naona angalau kamekua kidogo, hivo nimeona ni busara aanze rasmi shule. Ila juzi kati hapa kuna shule ya Nusery ipo karibu na ninapoishi, so nilienda kwa lengo la...
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  14. K

    JamiiForums Tanzania THRDC: Ujio wa Kamala Harris ni matokeo ya kuimarika kwa Haki za Kibinadamu na Utawala Bora

    Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri. "Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
  15. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Wanachokifanya Raja ni kinyume na haki za binadamu

    Yaani wao wanakuwa na magoli ya kufunga 13, wakati wenzao woote wana magoli mawili mawili dah hii siyo haki.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wachina ndio wana mamlaka ya kutatua suala la Taiwan na hakuna nchi yoyote yenye haki ya kuliingilia kati

    Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
  17. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
  19. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Tuisaidie Tume ya kuboresha taasisi za haki jinai kwa kuweka maoni yatu hapa

    Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Lengo kuu ni kuangalia kwa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
Back
Top Bottom