Mange Kimambi anaweza kushtakiwa kwa kosa la kuvunja haki za binadamu ikiwemo udhalilishaji

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu.

Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo ambayo imezuiwa na Admin kutizamwa na Watumiaji wasiolipia na kushare kwa watu wengine ambao wameshindwa kuifikia.

Mange alipaswa kuanzisha mtandao rafiki kwa Watumiaji na sio kero kwa baadhi ya watu wengine.
 
Mange kimambi
 

Attachments

  • IMG-20221019-WA0044.jpg
    IMG-20221019-WA0044.jpg
    173.9 KB · Views: 31
Back
Top Bottom