Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake.
Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi.
Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi.
Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali.
Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu.
Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo tulikuwa tumemaliza masomo yetu ya elimu ya juu. Tuliishi wote nikiwa nimepanga baada ya kupata kidogo...
Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji.
📌 Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu.
📌 Watumishi mnajishau...
TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE
Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata ya Lugoba ambapo migogoro ya Uvamizi wa Ardhi za Vijiji inaonekana kuanza kushamiri. Katika ziara...
Habari za jioni mabibi na mabwana.
Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu.
Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama BBC Swahili, BBC Focus on Africa, VOA Swahili, DW Kiswahili na za kikanda kama media za nchi jirani...
Tukiacha ushabiki na kulishwa maneno kama majibu ya maswali yote mawili kwako ni "Ndiyo" basi unatakiwa kuunga mkono dual citizenship kwa wazawa wa Tanzania
1. Je unataka Watanzania wazawa ambao wako nje (Disapora) wapate haki sawa kwenye jumuia ya Africa mashariki kama wenzao wa Kenya na nchi...
Inaadhimishwa Februari 20 kila mwaka ikiwa na lengo la kupaza sauti dhidi ya dhuluma katka jamii, Umoja wa Mataifa (UN) unaeleza Kaulimbiu ya Mwaka 2023 ni ‘Kushinda Vikwazo na Kufungua Fursa za Haki ya Kijamii’.
Umasikini na kukosekana usawa vimeongezeka kutokana na migogoro ya kiuchumi na...
Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili.
Maskini ataendelea kuwa maskini
Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga!
bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi...
Habari za jioni
Kumekuwa na tathmini mbalimbali hapa kati kupisha ujenzi wa uwanja mpya wa ndege maeneo ya Kipunguni, Ukonga.
Mwekezaji ametoa mzigo mzuri watu walipwe, kinachoonekana wale wanaopima wamebadili kuwa dili zao.
Hapa kati walipita nyumba kwa nyumba wakati wa kupima na pia wote...
Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zinazosimamia haki Jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa dhamana, uendeshaji wa mashtaka, kesi na eneo ambalo aliyehukumiwa anatumikia kifungu chake...
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
Wasalaam wana JF
Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana.
Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani.
Mwenye Enzi Mungu...
Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki.
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba.
Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba.
Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
Wanabodi,
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023
Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai.
Ukosekanaji wa Haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.