haki

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na wapenda haki wengine.

    Wakati umefika tuache UNAFIKI. Ebu fikiri, Tundu Lissu alipigwa risasi kwa sababu tu alikuwa anatetea haki. Leo yupo mahabusu kwa kubambikwa kesi ya uhaini kwa sababu tu ya kutetea Haki. Ikiwa Tundu Lissu alimwaga damu yake kwa kutetea Haki, kwa nini sisi tunaogopa kujitoa sadaka damu zetu...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walilia haki na uvumilivu uchaguzi mkuu

  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Gulogwa aitisha maombi nchi nzima kuanzia leo Aprili 11 hadi Aprili 24, asema lipo jambo kubwa linaenda kutokea

    Naibu Katibu mkuu CHADEMA akizungumza na waandishi wa habari amewataka Watanzania wote kuungana kila mtu kwa imani yake kuomba kwa ajili ya Taifa kuanzia leo Aprili 11, 2025 hadi Aprili 24 2025, ameeleza kuwa ana imani jambo kubwa linaenda kutokea siku hiyo.
  4. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Askofu wetu leo kasema “Hakuna amani bila haki”

    Katika misa ya Alhamisi kuu leo Askofu wetu aliyeongoza misa, katika salamu zake za siku ya alhamisi kuu amesema “Tuendelee kuombe nchi yetu iwe na amani,kwa sababu uwepo wa amani ndio unafanya tunapata nafasi ya kuabudu kwa uhuru kiasi hiki, lakini wakati tunaiwazia amani tuhamasike...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha

    Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha — haijalishi fedha ni za haramu au za halali. Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, alisema: Katiba yetu ya CCM ya mwaka 1977, Ibara ya 5(4), inataka tuwaenzi waasisi wa taifa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDSM main campus kuwanyima haki wanafunzi wanaovaa kofia za cap kutumia baadhi ya huduma

    Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa...
  7. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe: Huu mwaka wa uchaguzi, bora tuhukumiane wenyewe kabla ya kuhukumiwa na wananchi

    Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu . Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku...
  9. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  12. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania, Haki haiombwi kwa kunyamaza – No Reforms, No Election! Hatutakubali tena kuishi kwa hofu, kukosoa siyo Uasi, ni Uzalendo wa kweli!"

    Katika kila kona ya nchi yetu—kutoka mijini hadi vijijini, kutoka kwa masikini hadi matajiri—Watanzania tumekuwa tukilalamika, tukilia kimya kimya, tukibeba maumivu ya mfumo kandamizi usiowajali wananchi. Mfumo huu hauwaheshimu wapiga kura, hauzingatii Katiba, na huwahukumu wanaodai mabadiliko...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  16. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Siku wananchi wakiamua kutoka barabarani na kudai haki yao, ndiyo siku mambo mengi yatabadilika

    Tofauti na hapo mtaendelea kutukana/ kutukanana hapa JF na mitandao yote ya kijamii . Narudia tena, siku wa Tanzania wakiamua kusimamia haki ndio siku mapinduzi yatapatikana. Tofauti na hapo, CCM itashinda sana na kuna la kufanya
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!

    Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki. Yule...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  19. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Dkt Mollel ni msaada mkubwa kwangu, anaitendea haki Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake. Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Wakuu Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
Back
Top Bottom