haki

  1. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Iko hivi; no reform,no election ni hitaji la sisi wapiga kura wa vyama vyote kwa muda mrefu,tunashangaa watu wasiotaka usawa,uhuru na haki

    Habari wakuu Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yaitikia vita ya ushuru ya Marekani ili kutetea haki

    Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Haki za mteja wa chakula hotelini au mgahawani zikoje?

    Ikitokea umeagiza chakula hotelini au mgahawani halafu wakati ukiwa unakula hiko chakula ukakutana na nzi, mende au nywele kwenye hicho chakula ukikataa kulipia utakuwa sahihi?
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mimi ningekuwa G55 maamuzi ambayo ningefanya ni haya ili kuhakikisha haki na ustawi wa Chadema na nchi unapatikana.

    Ningeanza na kurudisha hela nilizokula hata Kama zimebaki chache . Baada ya hapo ningekimbilia nje ya nchi. Ahsante
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tukio la Emmanuel Lucas kuuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza (Mara), uchunguzi ufanyike na Haki ipatikane

    Dar es Salaam, 02 Aprili 2025. Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nitasimama daima na "Waasisi wa Afrika waliotangulia mbele ya haki kwaajili ya Waafrika" na siyo kwaajili ya wakoloni

    Naanza kwa sara ya UAFRIKA: Ee Mungu, Mikononi mwako naweka Roho za WAAFRIKA WOTE. Nakushuru Mungu kwa baraka zote ulizotujalia WAFRIKA. Ee Mungu wa majeshi,nakushuru kwa wema wako umetulinda mpaka kufikia sasa WAAFRIKA tunaanza KUJITAMBUA ,tunasema Asante sana. Ee Mungu Baba nakuja tena...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kupoteza mtu ni kutunza amani lakini kulalamika kuwa mtu amepotea ni kuvuruga amani

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) KUNA MAMBO HAYAKO SAWA Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE. Kuna mambo 10 hayako sawa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  9. Bra-joe

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Eid ni Amani, Amani, Amani Mbona hawazungumzii HAKI?

    Habari Wananchi? Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu? Ujumbe huu wa amani Kila Kona kwa siku ya Leo nadhani ni mpango maalumu ili watu watakapokuwa wanadai...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi yeyote Duniani yenye Amani bila haki

    Siasa ni kuwajibika Siasa ni sayansi Siasa sio biashara Siasa sio kusifiwa Kuna kukosolewa Hata kutukanwa pia Kama Yesu alisemwa mtume Mohammad alitukanwa wewe ni Nani usisemwe na kukosolewa? Kama hautaki kukosolewa, sikiliza umma tenda umma wanachokitaka!! Wengi wape hiyo ndio democracy...
  11. S

    JamiiForums Tanzania HESLB hawafanyi haki kwa hili

    Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki? Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki Ndugu wanajukwaa, Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa shahada za uzamili (Master’s) na uzamivu (PhD) kwa mwaka wa masomo 2024/2025, nimeona kuna...
  12. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

    Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi...
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  15. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kuna hii habari imekuwa ikiwachanganya watu katika mahusiano hasa wadada kudhani ni haki yao!

    Wadada wa mjini wengi wamekuwa wakijikuta katika mivutano mikubwa ya mahusiano bila wao kujua na kubaki wakilia mjini! Unakuta binti kaingia katika mahusiano na mtu wanaamua kusogezana pika pakua wakati akienda kwa mwanaume amemkuta na kiwanja na kibanda au nyumba kabisa! lakini baada ya miezi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rita Paulsen (Madam Rita): Kupiga Kura ni Haki yako wewe mwenye sifa, sasa jiandikishe ili uipate haki hiyo

    Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama fulani, hiyo ni haki yako na una haki ya kupiga Kura Rita Paulsen maarufu Madam Rita Mwanzilishi...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mimi sitambui tume huru kama tume itakayoenda kufanya haki au kama tume iliyopo kihalali hivyo kushiriki uchaguzi ni usaliti wa taifa

    Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa uwajibikaji, demokrasia na haki ili kusalia zaidi madarakani kwasababu jina haliwezi kuleta demokrasia...
  18. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: TFF tendeni haki uchaguzi wa Mbeya

    UCHAGUZI MREFA (MBEYA) Habari ndugu zangu Wanamichezo. Leo ni siku ya usaili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya (MREFA). Taarifa zilizipo ni kwamba Kamati ya Uchaguzi ya TFF inayoongozwa na Benjamin Kalume wamepanga kumkata Sadick Jumbe kwenye nafasi ya...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wadau waisihi serikali kuridhia itifaki ya haki za watu wenye ulemavu

    Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki ya Haki za Watu Wenye Ulemavu Afrika kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, ili kulinda haki za kundi...
Back
Top Bottom