habari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gari zuri kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail

    Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,. Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hutakiwi kujua habari hizi kama unajielewa kazi iendelee

    Watoto 200, weusi wenzangu kutoka Nigeria, Walichanjwa chanjo za majaribio kwa hila, wakaahidiwa kulipwa iwapo watadhurika. 11 wakafa, wengine wakapata madhara ya kupooza na mitidio ya ubongo, kisha wakatapeliwa hata hayo malipo. Bado Africa hatujifunzi tu, tunalazimisha watu wafanyiwe...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kipanya na Katuni hii, aliona Mbali

    Pigisha hata kura ya maoni ulipo au hata katika ulio nao karibu: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kibonzo hapa kina hoja nzito.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80

    Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache. Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  7. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

    Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi. Hata hivyo amesema anaendelea kuwa mwekezaji katika klabu ya Simba huku akiahidi kushirikiana vizuri na viongozi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi kesi ya Mbowe na wenzake inavyoripotiwa ni kielelezo cha mapinduzi makubwa ya upashanaji wa habari

    Siku moja ya mwaka 2005 sikumbuki tarehe wala mwezi mwalimu wetu mmoja aliingia darasani na gazeti lililokuwa na hotuba ya Bilionea Rupert Murdoch Mmarekani mwenye asili ya Australia na mmiliki wa vyombo vingi vya habari.Hotuba hiyo ilikuwa na mada isemayo 'nafasi ya magazeti katika...
  9. JamiiForums Tanzania R Kelly kwisha habari yake, akutwa na hatia

    Taarifa zaidi inafuata. R. Kelly convicted of racketeering and sex trafficking by a federal jury in New York By Sonia Moghe, CNN Updated 2103 GMT (0503 HKT) September 27, 2021 Hear the shocking accusations R. Kelly faced at trial CNN Huawei executive Meng Wanzhou hailed...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Amshusha kwenye Gari Mwandishi wa Habari wa Wapo Radio

    Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio. Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu . Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara...
  11. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

    Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!? 2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
  14. JamiiForums Tanzania Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msitutoe kwenye habari iliyopo mjini kwa sasa ya Yanga kuangukia pua asubuhi mapema caf champions league kwa kutuletea takwimu zilizopitwa na wakati!

    Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  17. JamiiForums Tanzania Endapo 1985 Nchi yetu ilikuwa imeendelea kwa kiwango Cha kuruhusu vyombo vya habari kuripoti kesi ya uhaini kesi ya Mbowe ina nini?

    Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani? Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani? Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
  19. JamiiForums Tanzania iPhone 13 imeshaingia, 11 si habari ya mjini tena

    Kama ulikua unajiandaa kununua iPhone 11 basi fahamu kuwa 13 sasa hivi imeshatoka.
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Jamii Forums: Habari Katika Kurasa Salama

    Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi anataka hii ni hatari kwani kwani waandishi ndo watu pekee wanao weza kubadili uongo uonekane kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…