Ripoti iliyotolewa na Reporters Without Borders (RSF) inasema China ni mkamataji mkubwa wa Waaandishi wa Habari Duniani, ikielezwa takriban Wanahabari 127 wanashikiliwa hivi sasa.
Imeeleza, China imekuwa ikifanya kile kilichotajwa kama kampeni ya ukandamizaji dhidi ya Uandishi wa Habari...
Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina ya mamlaka na wahusika.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne, Desemba 7, 2021 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju wakati...
Nimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
Waandishi wa habari 4 mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari na baadhi yao kuumia wakiwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jen.Marco Gaguti.
Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby(Daily News),Adam Malima(Chanel Ten) na Baraka Jamal(Safari Redio)...
Salaam Wakuu,
Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021
Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu kuwajuza kila kitakachojiri.
=====
UPDATES: 1022hrs
======
Waandishi wameshafika eneo la tukio
1034...
Nina masikitiko sana kuhusu kupanda hovyo kwa bei ya bidhaa mbalimbali hapa nchini. Nitoe tu mifano michache niliyoyaona.
Kwa siku za karibuni nilikuwa nanunua gesi ya kupikia kilo 15 kwa Tshs.51,000 leo gesi ilipoisha nikaenda kununua na nikaambiwa bei ya gesi ya kilo 15 ni Tshs.59,000...
Pembetatu ya Kionga ilikuwa eneo dogo la kilomita za mraba 395 kusini mwa Mto Rovuma kwenye Bahari ya Hindi, ambayo ilienea kaskazini mwa Rasi Delgado . Ndani ya eneo hilo kuna mji wa Kionga (Kireno "Quionga"), ambao mwaka wa 1910 ulikuwa na karibu wakazi 4,000.
Eneo hili lilikuwa sehemu ya...
Habari Ndugu Zangu,
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam.
Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx.
Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na...
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
Habari za muda naitwa Ernest mimi ni Dereva wa uber na Bolt
Kama awali hapo mimi ni dereva wa Uber natafuta Gari ya hesabu au mkataba nina leseni class C3 na vigezo vyote vya kuendesha gari za Uber ikiwa plate number njano au nyeupe haina shida.
Also apart from Uber, pia natafuta nafasi ya...
Polisi mkoani Songwe wanawashikilia watu 24 wa Kijiji cha Chang'ombe wilayani Songwe kwa tuhuma za kuzingira kituo cha polisi Galula.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Janeth Magomi amesema watu hao walivamia kituo wakishinikiza kurejeshewa mikoba ya waganga wa jadi (lambalamba) iliyokamatwa na...
Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6.
Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa
====
MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
baada
bahasha
bernard morrison
gsm
habari
hassan bumbuli
hukumu
huruma
kitu
kutoka
mungu
mwakalebela
rufaa
sana
simba
simba sc
uso
watangazaji
yanga
yanga sc
The Bombay Africans in the 19th century,
Waafrika waliookolewa na wanamaji Waingereza kutoka jahazi zilizobeba watumwa kwenye Bahari ya Hindi; wengi walikuwa vijana, watoto au wanawake. Waingereza waliwapeleka kwenye vítuo maalum huko Uhindi - Bombay; maana waliona wakiwarudisha pwani la Afrika...
Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli.
JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na wasio husika.
Mfano mzuri ni suala la vyeti fake JPM alitakiwa angalau wale ambao walikuwa na uzoefu wa...
Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam.
Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.