Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.
Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe...
Habari,
kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.
Nani alishapata solution?
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini...
Habari za wanandugu hapa!
Wakiwa wamekufa wanajeshi zaidi ya 10,000 wa Urusi na 2600 wa Ukraine na raia 5200 wa Ukraine, Hakuna aliyeamini Kama Kuna Kifaru cha Urusi kitaguswa wala hakuna aliyeamini kama Urusi ataruhusu hata majeshi wake mmoja kuuwawa huko vitani, maana wengi walilibeka...
Habari wakuu!! Ningependa kuuliza kama kwa hii (Msc IT Management) program Content inatosha mtu kuwa na Technical knowledge za IT au zipo based on Management tu
CORE COURSES
COURSE TITLE
CODE
Units
TCU CREDITS
Scientific Research Methods
OCS 601
1
10
IT Entrepreneurship and...
Kinasema...
'Wamerudi Aiseeee"
Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia.
Karibuni.
Salaam Wanajukwaa,
Hapo zamani ilikuwa ni nadra sana kusikia chombo cha habari kutwa nzima kinasifia kiongozi fulani lakini kadri siku zinavyozidi kwenda imekuwa kawaida na tabia hii inazidi kuota mizizi sana. Unaweza kuta kila kipindi ndani ya dk kadhaa unasikia zinamwagwa sifa za viongozi...
Vita vya Russia na Ukraine vimenifumbua macho yangu. Vyombo vya habari vya nchi za Magharibi ni vyombo ambavyo havitoi habari kuhusu kile kinachoendelea kwenye vita, havisimami katikati, vimeegemea upande. Iko siku vyombo hivi vitatumika kurudisha ukoloni Afrika.
Je, vyombo vya habari vya...
Hassan Zhou
Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
Wasaka shavu wote mlikuwa mnapambania keki Serikalini Leo, Usaili umeendaje huko?
Tupeni info's basi, maana najua hayo maswali huwa wanarudiaga hamna mpya chini ya jua.
Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova.
Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
Miaka kadhaa iliyopita katika ligi za ulaya,hususani Uingereza, timu hazikuwa na afisa habari bali alikuwapo muandishi wa habari kutoka kwenye chombo cha habari, aliyeandamana na timu sehemu tofauti tofauti.
Kwa kuwa vyombo vya habari vinajali zaidi vichwa vya habari"vinavyouza" waandishi hao...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _
jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama kupitia jukwaa hili unaweza kupta mchumba au marafiki
Rakini leo naomba nithibitishe kuwa jukwaa hili...
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari Nchini.
"Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya uhuru wa vyombo vya habari Nchini Tanzania...
Nimesikiliza makala ya mafanikio ya Rais Samia tangu aliposhika hatamu kuongoza nchi iliyoandaliwa na kusimuliwa na Zuhura Yunus.
Kiukweli huyu dada ni msimulizi mzuri hatetereki wala kujiumauma kanyooka kama rula na kiswahili chake maridhawa.
Kwa kweli katika teuzi hapa mama aliramba jike haswa
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano:
1. Kesi ya Mbowe
2. Usalama wa Lisu akirejea nchini
3. Uhuru wa vyama vya siasa
3. Katiba mpya
4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine.
Wakati mwingine...
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.
Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
Tuweke mzigo mezani
Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma:
BARRICK NORTH MARA YAFUNGULIA MAJI YA SUMU NA KUTEKETEZA SAMAKI MTO MARA
Jitihada zimefanyika ili kujua...