habari

  1. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  3. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kwa kuwa na muandishi wa habari wa kujitegemea

    Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
  4. F

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya kimataifa vyatahadharisha kuwa Tanzania yaweza kurudi kwenye uvunjifu wa haki na uhuru wa kujieleza

    Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia. Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka. https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
  6. albo_stunz

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyika upasuaji anatakiwa asipake rangi kucha wala kuzi polish?

    Habari wana jf…Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyiwa upasuaji haruhusiwi kucha zake kuzipaka rangi wala kuzifanyia polish?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Taarifa za habari kutoka kwenye media zetu zinaboa sana

    Yaani miaka nenda Rudi ukitazama ITV, TBC, ZBC, clouds, wasafi Habari ni zile zile za matatizo. 1. Video 2. Watu kutekwa 3. Mafuriko. 4 Matatizo ya maji 5. Mlipuko wa magonjwa, kipindupindu, suala 6. Upungufu wadawa 7. Ugomvi wa wakulima na wafugaji 8. Ufisadi. 9. Ubakaji 10 Njaa n.k 11...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  10. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Sean "Diddy" Combs was arrested in Manhattan on September 16, 2024, following a grand jury indictment related to an ongoing federal investigation involving allegations of sex trafficking, sexual assault, and other criminal activities. This arrest came after his properties were raided by federal...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka 2023 umekuwa kero kubwa

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka jana 2023 watumishi wamekuwa na kilio kisicho na mtu wa kunyamazisha, kwa maana hakuna mtumishi aliyeomba uhamisho na akapata kibali cha kuhama kwenye mfumo. Mbaya zaidi ukipiga simu TAMISEMI hata wao hawajui ni lini vibali hivyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  14. George johnson

    JamiiForums Tanzania Habari za jioni

    Nilipotea muda mrefu hapa baada ya kupata shida ya kulog in , ila now nimefanikiwa baada ya ku reset password
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Tegeta hawana habari sakata la kada wa CHADEMA kutekwa.

    Nimepita Tegeta juzi kuuliza yule kada alitekwa wapi,wale watu mostly waliniuliza "kwani yupo kada wa Chadema alitekwa?" Halafu yule mmoja akaniambia,"Ah yes,hata mimi nilisikia kwamba alitekwa pale Mbele." Inaonyesha tukio lenyewe lilifanyika without fanfare na lilikuwa not noticed by many.(...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

    Wanakumbi. Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video . Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya. Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari

    Naombeni, maeneo ambayo mwanafunzi anaesoma bachelor of science in environment management anawezà kufanya field.
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Chombo Gani cha habari cha Kimataifa kinatoa habari za uhakika

    Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk...
Back
Top Bottom