habari

  1. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

    Wanakumbi. Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video . Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya. Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu habari

    Naombeni, maeneo ambayo mwanafunzi anaesoma bachelor of science in environment management anawezà kufanya field.
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Chombo Gani cha habari cha Kimataifa kinatoa habari za uhakika

    Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk...
  6. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Natafuta gazeti la Habari Leo la tarehe 04/08/2024

    Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo. Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye gazeti na Leo ndiyo siku tangazo hili limetoka lakini kwa bahati mbaya nikapatwa na msiba hivyo...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

    Naona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300! Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951. Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio...
  8. kitonger

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mkopo usio na riba

    Wakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi). Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat. Namba zangu ni 0654102984.
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari TZ ni makada?

    Hawa waandishi wetu huwa hawanaga ubunifu wa kuandika habari zinahusu jamii yetu? 1. Vijana, 2. Ukosefu wa ajira? 3. UTEKAJI/abductions, 4. Kuwawezesha wanawake? 5. Ulinzi wa watoto? 6. Mabadiliko ya tabia ya nchi/mazingira? NB: Zaidi ya kuripoti mikutano ya viongozi, matamasha? vikao vya bunge?
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Ukiona BBC hawatoi tena habari za vita vya Urusi na Ukraine tambua Ukraine anachezea kichapo

    Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya. Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12 Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote Tutakujuza Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024 Nasrallah expected to give speech at 6 p.m. Today, 10:25 am 3...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum nakusalimia Kijana wangu. Habari za Kigali

    Nasikia ulijiapiza kuwa ligi ya mabingwa Caf kuwa unataka uwaonyeshe Simba na Yanga mpira unavyochezwa. PIA SOMA - News Alert: - FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  13. D

    JamiiForums Tanzania Azam FC na Dabo habari imeisha. He will be fired upon arriving in Tanzania

    I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager. Azam FC and Dabo's business is over.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

    Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Habari Ndiyo Hii; Hata Viongozi wa Dini Hampo Salama.

    Amani kwako mdau. Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika. Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali. Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
  16. Fredrick Nwaka

    JamiiForums Tanzania Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

    Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1 Aridhio 3. TBC 1 Aridhio 4. KAIFA ya TBC Taifa 5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa 6. Dira ya mchana...
  17. N

    JamiiForums Tanzania HABARI YA MAANDAMANO YA WAMASAI IMEFUNIKWA NA HABARI YA RPC

    Jana palikuwa na maandamano ya wamasai ya amani, miongoni katika baadhi ya malalamiko yao mengi walilalamika kwamba wanazuiwa haki ya kupiga kura ilahali wafungwa (prisoners) wanaruhusiwa kupiga kura wakiwa huko magereza. Pia wamelalamika kukosa haki ya afya bora, elimu bora, makazi pamoja...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Libya: Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Benki Kuu atekwa, Benki yasitisha Huduma zote

    Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa vyombo vya habari hakikisheni habari zinazenda kwa wananchi zimethibitishwa, mnatulisha matango pori

    Leo Mjanja M1 nimechukizwa sana, tena sana. Hivi nyie wasimamizi vya vyombo vya habari kazi yenu kubwa ni nini? Mnaacha watu wanalishwa matango pori na watu wenye media kubwa na hamchukui hatua yoyote. Angalia hii habari hapa chini, nimejaribu kuziba jina la hiyo media ili kutomchafua kwakuwa...
Back
Top Bottom