Gunia is a village in Dera Baba Nanak in Gurdaspur district of Punjab State, India. It is located from sub district headquarter and from district headquarter. The village is administrated by Sarpanch an elected representative of the village.
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?
Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa...
Nimeona tone tone Mwanza imeingia mtaani, Mnyika na Heche njoooni mtaani mbebe Hela tunazo sisi hatuwezi tumakwa simu au benk HAYA majamaaa yatatunyaka sisi ni nyoka jeusi tupo nao ndani njoooni mtaani tutakutana niwape tone tone
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya...
Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye Namba za Kijeshi H. 3083 mkazi wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi.
Hati ya Mashtaka imesomwa na...
Nimehuzunika mno kuona watu wanafanya kilimo bila kuwa na mafanikio kwa mda mrefu. Japokuwa watu wamejikita sana kwenye kilimo kwa mda mrefu lakini wameambulia kuchoka haswaa.
Lengo la uzi huu ni kuwashauri na kuwatia moyo wakulima kuwa wanao uwezo wa kulima nusu hekta na kuvuna gunia hamsini...
Wanaukumbi.
Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea.
Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli.
https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la..
Nani kakwambia anashida na hiyo...
Tofauti ni mbinu tu, si muujiza!
Wakulima wengi wa mpunga hapa Tanzania huvuna gunia chache sana kwa ekari – na kwa bahati mbaya, wengi huamini kuwa hilo ni jambo la kawaida. Lakini je, unajua kuna wakulima wanaovuna hadi gunia 40 kwa ekari moja?
Ndiyo! Wakati wewe unavuna gunia 5 au 7, mkulima...
Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine
Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
Habari wadau,
Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
Habari, zenu wanajukwaa poleni na majukumu pia kheri ya kuvuka mwaka.
Wanajukwaa nauliza sehemu ya kupata mifuko ya 25kg ile ya unga mfano wa azam, azania. Pia natafuta mifuko ya gunia nzito kwa jumla kwa Dar es Salaam.
Anayejua chimbo au bei anijuze. Plz mwenye kujua aandike na bei.
Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na utayari Tuonane Inbox 📥
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane (8) mfululizo mkoani Morogoro katika wilaya za Morogoro, Morogoro vijijini na Mvomero na kukamata jumla ya gunia...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.