gunia

Gunia is a village in Dera Baba Nanak in Gurdaspur district of Punjab State, India. It is located from sub district headquarter and from district headquarter. The village is administrated by Sarpanch an elected representative of the village.

View More On Wikipedia.org
  1. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mshtuko: Gunia la mahindi lauzwa 135K

    Haijawahi kutokea! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
  3. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

    Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
  4. je parle

    JamiiForums Tanzania Kuna nini huko, mbona gunia la viazi Dar es Salaam ni laki 1?

    Tanzania tunashukuru Mungu kwa kuingia uchumi wa kati mpaka sasa gunia la viazi wanauza kuanzia 98.000 hadi 110.000 Tatizo ni uzalishaji mdogo kila mtu kawa machinga au tatizo ni madalali kujipangia bei zao wenyewe?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

    Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jipatie mkaa mzuri gunia 70,000 mpaka ulipo nauleta

    Habari wakuu, ninao mkaa mzuri sio mabua gunia lenye ujazo mzuri,bei Kama utaubeba mwenyewe toka maeneo ya kigogo gunia ni elfu 65/kama utahitaji nikuletee ndani ya dar gharama ni elfu 70.tafadhali nicheki 0719848528 tufanye biashara
  7. Abdistar

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya ufuta

    Mambo vipi wakuu. Naomba kujua bei ya ufuta kutoka shamba inanunuliwa kwa shilingi ngapi kwa kilo nina kama gunia tano 5 Nipo Moshi Kilimanjaro, mawasiliano 0657291795
  8. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya nazi kwa gunia

    Niaj wadau, Najua saivi life liko mbaya sana pesa zimekuwa adimu michongo imekuwa adimu sana kuna wazo nilipata juzi nilipewa na rafiki angu ambae yupo Lindi akanipa mchongo wa kwenda lindi kununua gunia la nazi na kila gunia moja zinaingia nazi 200 na kwa bei ya kule aliyoniambia kuwa nazi...
Back
Top Bottom