Je, unamfahamu Sundararajan Pichai? Maarufu kama Sundar Pichai?

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
622
1,276
c05ae2473939e8ff2229102442ca257f.png
Huyu ndio CEO wa Google na alphabet Inc. Ni mtu mwenye asili ya kihindi na marekani, alizaliwa June, 10, 1972 huko Tamir Nadu India, alipata shahada yake ya Kwanza Katika chuo cha Stanford university na baadae akaongeza elimu yake katika master ya maswala ya biashara chuo cha pessylvania University.

Mshahara wake Kwa mwaka ni Dola milioni Sita Sawa na 14,384,952,000 Tzs.

Mke wake anaitwa Anjali Pichai.
Jamaa alikuwa CEO WA GOOGLE Kuanzia 2015.

Hata hivyo huyu muendelezaji wa program kadhaa za google ikiwemo google Map, Google drive, Google Map, na good mail(Gmail)-hizi zote ni KAZI za huyu jamaa.

Anatajwa kuwa MTU miongoni mwa watu 100 ushawishi zaidi duniani.

Huyu ndio chief executive officer of Google, na CEO maarufu zaidi duniani.
 
Tamir = Tamil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom