Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133
Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata!
Google to set up first Africa product development centre in Nairobi
Build for Everyone - Google Careers
Leo kama ilivyokatika miaka yote ni siku ya Dunia. Huwa siku hii inaadhimishwa kwa kujadiliana namna gani tunaweza kuifanya dunia iendelee kuwa sehemu salama ya kuishi. Changamoto zote na namna ya kuzitatua kufuatia mabadiliko ya tabia nchi.
Nimefarijika kuona mlima Kilimanjaro leo utafahamiaka...
Google imetangaza kuzindua kituo cha ukuzaji wa bidhaa jijini Nairobi, ambacho ni cha kwanza katika bara la Afrika, ili kujenga bidhaa na huduma za "mabadiliko" kwa soko la Afrika na ulimwengu. Haya yanajiri baada ya kampuni hiyo kubwa ya teknolojia kufichua mipango ya kuwekeza dola bilioni 1...
Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30%
Huu mfumo siyo...
NImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia tayari card imewezeshwa kufanya malipo mtandaoni.
NIme-google naona wahindi pia linawasumbua hili...
Hello mates kwenye jukwaa hili la Tech, Kwa wale wenye uhitaji wa kujua au kushea ideas Juu ya Google Google Adsence Tukutane hapa.
Je, unamiliki Blogu, tovuti au Channel ya YouTube ungependa kujua mengi kuhusu Google Adsence au una Google Adsence account tayari ungependa kushea ushauri au...
Wakuu salama?
Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na Blogu yaani YouTuber na Blogger nani anaweza faidika zaidi na Matangazo ya Google.
Pia unaweza...
Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake:
kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula...
Google pixel 3
Gb 128
Ram 4
4k video shot
Best camera phones
imported from korea
used for two weeks
380,000..
In Dar es alaam, kimara mwisho
0713096076
(Picha: The Sheriff)
Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!"
Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
UKwa kutumia google Map unaweza kuona hali hali halisi ya sehemu mbalimbali za dunia na kuzifahamau hata bila kufika. Hii imekuwa pia inasaidia watalii kutembelea sehemu fulani za dunia kujihakikishia wanyaoona huko Google maps.
Ukiangalia ramani ya dunia, utaona kuwa Amerika ya Kusini, Amerika...
Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza.
Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko marketable?
ukiingia google ukasearch kwa heading
List of territory purchased by a sovereign nation from another sovereign nation
Utaletewa nchi nyingi sana zimefanya biashara hii na wanakuletea mpaka bei walinunua
Mifano michache
Louisiana - Marekani ilinunuliwa kutoka France kwa USD 15,000,000
Florida...
Tetesi zinaonyesha kampuni ya Google ipo mbioni kuingia katika soko la Miwani za AR na imeanza majaribio ya kutengeneza AR Glasses zake.
Mwaka jana tuliona Snapchat, Ray Ban, Meta, TikTok, Xiaomi, Oppo na Huawei zilionyesha Smart Glasses mpya ambazo zina uwezo wa Augmented Reality. Apple pia...
TikTok inapendwa zaidi na watumiaji mtandaoni kuliko Google ambayo imeshikilia nafasi hiyo kwa miaka 10 mtawalia.
Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya Marekani, kulingana na Cloudflare, kampuni ya usalama IT.
Viwango hivyo vinaonyesha kuwa TikTok...
Today Google doodles on Tanzania's Independence Day in commemoration of the day when Tanganyika, the mainland region of Tanzania, gained independence in 1961.
=====
Ni kawaida kwa google kubadilisha muonekano wa nembo yao katika home page kulingana matukio mbalimbali kwa siku husika.
Happy...
Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote.
Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya...
Kutoka katika vyanzo vya kusambaza material na utengenezaji wa simu za Google Pixels, kwa supply na order za sasa, inaonekana Google imefanya maamuzi ya kusitisha kuzitengeneza simu za Pixel Fold ambazo zilitegemewa kutoka mwaka huu.
Mabadiliko hayo yatapelekea Pixel Fold isitoke mwisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.