google

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

    Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya. Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Pale tutakapokuwa tumekabidhi maisha yetu kwa Google

    ‘Hi Google, based on everything you know about cars, and based on everything you know about me (including my needs, my habits, my views on global warming, and even my opinions about Middle Eastern politics) – what is the best car for me?’
  3. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania 'Google Photos’ kuanza kulipiwa

    Kampuni maarufu duniani inayojishulisha na masuala ya TEHAMA ‘Google’ itaanza kulipisha watumiaji wake wa mtandao wao wa kuhifadhi picha mtandaoni (Google Photos) ifikapo Juni 2021. Mtandao huo ambao upo wazi kwa kila mwenye akaunti ya Google, umekuwa ukitoa huduma ya uhifadhi picha bure huku...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Google docs and sheets kwangu imeanza kuwa bora zaidi ya MS office

    Mara nyingi uwa naweza kuwa nafanya kazi nikasahau kusave nijikuta mara softare imefreeze, nimepoteza kazi kubwa niliyokuwa nimefanya. Ila mara kibao nikiwa nafanya kazi na wenzetu mara nyingi wana prefer tutumie google docs/sheets ili waweze kutrack progress ya kazi. Uzuri ni cloud service...
  5. osmaney

    JamiiForums Tanzania Pretend This Is Google And Search For Anything. Someone Will Reply You.

    Just pretend FamiiForums is google and search for anything you wish to know. Someone will definetly reply you in seconds or minute. Some people are natural encyclopedia or a genius. Let the enquiry begin.
  6. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

    Kwa sababu kama mnavyojua jinsi serikali ya Marekani ilivyoweka sheria zake katika makampuni ya china , napenda uliza swali tajwa hapo juu.
  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

    Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa. Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Mkenya ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Google Afrika Mashariki, amechukua kutoka kwa Mkenya

    Agnes Gathaiya Agnes Gathaiya has been appointed the new Country Director for East Africa at Google. Agnes, who boasts a 21-year experience in organizational transformation, focused on developing strategy, will manage the regional operations for East Africa. She will be responsible for...
  9. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ramani: Nchi za Afrika zinazosechiwa Google na nchi nyingine za Afrika

    Afrika Kusini wanasechi sana ishu za Zimbabwe Zimbabwe wanawasechi sana Afrika Kusini Congo wanawasechi sana Nigeria Tanzania na Uganda tunawafatilia mno majirani zetu Kenya Burundi wanawasech sana Rwanda
  10. 2019

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

    Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara. Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote. Picha zote zilipigwa tarehe kama ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Google kusitisha malipo kwa njia ya Western Union

    Kampuni ya GOOGLE upande wa matangazo imesitisha malipo yake ya matangazo yanayopatikana kwenye application za simu (admob) na blog au website (AdSense), Google wamenitumia E-mail kufikia mapema mwa mwaka kesho (2021) watasitisha rasmi malipo kwa njia ya Western Union. SWALI : Western Union...
  12. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni makubwa ya Apple, Facebook, Amazon na Google kuhojiwa na Bunge la Marekani leo

    Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday. The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
  14. Jackal

    JamiiForums Tanzania "Google" Na "Apple"waiondoa Palestine Kwenye ramani ya Dunia

  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Google wanakabiliwa na tuhuma ya kuingilia faragha za watumiaji wake, watakiwa kulipa fidia ya dola bilioni 5

    Google na kampuni yake Mama iitwayo Alphabet Inc wameshitakiwa kwa kuingilia kinyume cha utaratibu falagha za mamilioni ya watumiaji wake ambapo wanatakiwa kulipa fidia ya dola bilioni 5 kwa kosa hilo. Google hadi sasa bado Google hajatoa maelezo yoyote kufuatia tuhuma hizo. inaelezwa kuwa...
  16. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana Google, vijana jifunzeni kwa watu walio watangulia

    Sio maneno yangu ni maneno ya huyu Kaka anaeongea Sana 🙆🙆 Anasema Eti vijana Mapenzi jifunzeni Kwa wakubwa waliowatangulia Umri, sio mnaenda Google au Porn Hub Ila huyu Kaka anaongea balaa, kiru 🏃🏃🏃
  17. M

    JamiiForums Tanzania Top ( 10) Adult-move watching Countries according to Google

    The 21st century is indeed a digital era where people around the globe can sit in the comfort of their homes to access the world with a simple click from their phones. It's no longer news that there are millions of people around the globe who are into watching adult movies. Unfortunately all...
  18. Wazalendo unity_official

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Kusolve/kufix "URL is on Google, but has issues"

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni blogger na nahitaji Msaada wenu mablogers wenzang wenye ujuz zaidi na Google search console. Ninapokea ujumbe unaosema URL is on Google, but has issues Kila ninapofanya URL inspection. Na toka tatzo hili lianze traffic ya blog yangu imeshuka kwa Zaid ya asilimia 50%...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Google wataanza kufanyia kazi ofisini Julai 6

    Baadhi ya kampuni za teknolojia na habari zimewaambia watumishi wake kuwa wataendelea kufanyia kazi nyumbani muda wote, makampuni mengine yamepanga kuendelea na kazi katika ofisi zao hivi karibuni Moja kati ya kampuni litakalofungua ofisi zake ni Google. Mkurugenzi Mtendaji wa Google amesema...
  20. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Je unajua kwamba yawezekana kuna watu wanajuwa nywira(password) yako ya Jamiiforums, Google, internet banking na kwingineko?

    Leo nataka nikujuze kwanini kuna wakati baadhi yetu tuna watuhumu kimakosa JF wana mtu anayetoa siri za watumiaji wake waliojisajiri kumbe hawahusiki . Unakumbuka wakati flani kuna account ya mwana JF mwenye jina la jamaa mmoja maarufu mtandao wa twitter iliwekwa wazi account yake kwenye...
Back
Top Bottom