Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

xz0r_africa

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
309
311
Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake:
kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula, nitaongelea vitu hivi:
Google adsense:-

  • Google adsense ni nini
  • Maudhui yapi yanaweza kuwekewa google ads
  • Maudhui yapi ambayo hayana sifa kuwekewa google ad
  • Website ili ipate google ads inapaswa kuwa na sifa zipi
  • Google adsense estimate metric
  • Invalid click and invalid traffic
  • Jinsi ya kufungua blog
  • Jinsi ya kufungua adsense account
  • Jinsi unavyoweza kupokea malipo
Search engine optimization for blogger blog:-
  • On-page SEO
  • Off-page SEO
  • Structured data (schema)
  • Sitemap
  • Jinsi gani ya kufanya website yako iaminike
  • Search Engine Crawler | SE BOT
Analytical tools
  • Google Analytics
    • Session
    • Bounce rate
    • Userflow
  • Search console
    • Search perfomance
    • Coverage
  • Schema Markup Testing Tool | Google Search Central
Additional tool za kujichotea traffic
  • Google news
  • Google Discover
  • facebook group
  • telegram channel
  • Facebook page
  • verified insta account(optional)
  • linkedin account
  • Researchgate account
  • pinterest account
  • youtube channel
  • more social media account if any
1. GOOGLE ADSENSE
1.0 Google Adsense ni nini?

Google Adsense ni programu inayoendeshwa na Google ambapo wawekaji wa maudhui kama makala, news article, machapisho ya blog, picha, video, au matangazo ya midia kwenye kurasa za wavuti wanaweza kujisajili kwenye programu hii na kuwa kama partner hivyo basi wakaweka ads space kwenye kurasa za wavuti na kuruhusu google kutangaza kwenye tovuti zao. Matangazo haya yanasimamiwa na Google.
wachapishaji (content publisher | content creator) wanaweza kujivunia mapato kwa kila mbofyo au kwa kila onyesho la tangazo (impression).
Note ni sehemu ya mafunzo:
Mfano wa website/blog yenye google adsense [Kilimanjaroyetu]
1.1 Maudhui yapi yanaweza kuwekewa google ads
Ili tovuti yako iwe na sifa za kupata Google AdS, inapaswa kuwa na maudhui ya kipekee (unique content) ambayo yanavutia watembeleaji. Kabla ya kujisajili kwa Adsense, inapendekezwa ukague kurasa zako ili kuhakikisha kuwa ziko katika hali nzuri.

Note nilipochapa unique content haimanishi kwamba tovuti au blog yako iwe na content tu ambazo hazijawahi kuonekana kwenye Search engine hapa namaanisha add value kwenye content zilizopo angalau kuwe na uniqueness ukilinganisha na content za mwanzo utaelewa zaidi nitakapoelezea kuhusu schema (structured data)

1.2 Maudhui yapi ambayo hayana sifa kuwekewa google ads

Content zenye utupu

Sexually gratifying, maudhui yanayochochea ngono na/au yanayokusudiwa kusababisha msisimko wa kingono.
Mifano: content zinazoonesha matiti, matako, mavazi yanayoonesha utupu, sehemu za mwili za siri ambazo zimetiwa ukungu.

Discusses sexual fetishes
Mifano:
Voyeurism, sadomasochism.

Maudhui yanayohusu burudani za ngono.
Mifano:
Sherehe za filamu za ponografia, adult webcam services,

Maudhui yanyopromote biashara za ngono.
Mifano: Vichezeo vya ngono, genital enhancement tools

Hutoa ushauri kuhusu utendaji wa ngono.
Mifano: Vidokezo vya ngono

Maudhui ya kutisha
Picha za kuchukiza
Mifano: Damu, utumbo, majimaji ya ngono, uchafu wa binadamu au wanyama, picha za matukio ya uhalifu au ajali

Maudhui yanayoonyesha vitendo vya ukatili
Mifano: Akaunti au picha za risasi, milipuko, au milipuko ya mabomu

Maudhui yenye lugha chafu
Mifano:
Maneno ya matusi au laana, tofauti na tahajia zisizo sahihi za lugha chafu

Maudhui kuhusu vilipuzi Vilipuzi
yanakuza uuzaji wa bidhaa ambazo zimeundwa kulipuka na zinaweza kusababisha uharibifu kwa watu au mali iliyo karibu.
Mifano: mabomu ya kemikali, mabomu au fataki .

Maudhui kuhusu uunganishaji, uboreshaji au upatikanaji wa vitu vinavyolipuka
Mifano:
Miongozo ya kutengeneza mabomu; programu au vifaa vinavyokusudiwa uchapishaji wa 3D part za mabomu au vifaa vingine vya kulipuka.

Content zinazobariki biashara za madawa ya kulevya
References soma hapa:
[Google Publisher Restrictions - Google AdSense Help]

1.3. website ili ipate google ads inapaswa kuwa na sifa zipi
Kuna baadhi ya sheria na sifa ambazo Google inatarajia kutoka kwa tovuti yako
  • Angalau machapisho 10 hadi 20 ya blogu yaliyofanyiwa SEO na yawe yameandikwa kwa google ads surppotive language
  • Sera ya faragha (privacy policy)
  • Kanusho (disclamer)
  • Sheria na masharti (terms of service and condition) (ikiwa una chochote kinachohusiana na pesa)
  • Contact us information
  • Kikoa lazima kiwe cha top level domain .com, .in, .net, .info, E.t.c
  • Chapisha Machapisho Yako Kwa Kuendelea
  • hakikisha hakuna maudhui ya hakimiliki yaliyochapishwa kwenye tovuti yako.
  • Tovuti lazima iwe na SSL certificate so user watumie https.
  • Tumia responsive themes.
  • Tovuti au blogu yako inapaswa kuwa na umri wa miezi 6. (Sawa, najua kwamba Google hawajatilia mkazo sana Timu ya Google Adsense endapo imereview tovuti yako na kuona ni nzuri vya kutosha basi wanaidhinisha hata ikiwa ina umri wa miezi 1-2.)
1.4. google adsense estimate metric
Page views

Ni mara ambazo ukurasa wa wavuti (webpage) umekuwa loaded kwenye browser single user anaweza akawatengeneza page view nyingi
Clicks (mibofyo)
Kwa matangazo ya kawaida ya Google, huhesabu mbofyo mtumiaji anapobofya tangazo.
Cost per Click (CPC )
Zabuni ya Gharama kwa mbofyo inamaanisha kuwa hiyo ndio gharama ambayo advertiser analipia kila mbofyo kwenye matangazo yake. Kwa kampeni za zabuni za CPC, advertiser anaweka bei kwa kila mbofyo - au "max. CPC" - hicho ndicho kiasi ambacho yuko tayari kulipa kwa kubofya tangazo lake.
kwa upande wa google adsense kwakuwa google ndio wanahandle matangazo ya advertiser so wanamodify CPC

matangazo huweza kuwa hata na cpc hadi $6 ila kibongo bongo cpc ikiwa juu sana ni $1, $2 au $3
kiwango cha ingizo lako la cku hukokotolewa kwa kuzidisha cpc
Estimate earn=CPC*Clicks
cpc=$0.05
clicks=300
Estimate Earn=$0.05*300
estimate Earn=$15
Note: nitaongelea mbeleni ni jinsi gani ya kuhusisha higher paid keyword, kutengeneza niche ya site pamoja na kufanya traffic segimentation yote haya ni kwa ajili ya kuongeza cpc

The page clickthrough rate (CTR)
uwiano (ratio) ya kubofya tangazo (CTR) ni idadi ya mibofyo ya tangazo gawanya kwa page views. CTR = Mibofyo / page views. Kwa mfano, ukipokea mibofyo 300 kwa page views 1000, ukurasa wako wa CTR utakuwa 0.3%. CTR ni kipimo cha ubora kama matangazo ya advertiser yanahusiana na machapisho yako endapo ads ni relevant na content zako bac CTR itakuwa kubwa

Impression
huhesabiwa kwa kila tangazo linapooneshwa kwenye kifaa cha mtembeleaji. Ni idadi ya matangazo yanayooneka user wanapofungua tovuti yako
mfano impression ni 10000 per day it means tovuti yako imeonesha matangazo elfu kumi kwa siku hiyo

Page RPM
(Page revenue per thousand impressions )Mapato ya ukurasa kwa kila maonyesho ya matangazo elfu moja (RPM) hukokotolewa kwa kugawa mapato yako yaliyokadiriwa (Estimate Earn) kwa idadi ya mara ambazo ukurasa umetazamwa, kisha kuzidishwa na 1000. page RPM = (Estimate Earn / page view) * 1000
mfano Estimate Earn =$15
Page view =10000
Page rpm=(15/10000)*1000
Page RPM=$1.5
1.5 Invalid click and invalid traffic
Invalid click(
Mibofyo isiyo sahihi)
Mibofyo kwenye matangazo ambayo Google inachukulia kuwa si halali, kama vile kubofya bila kukusudia au kubofya kwa kutumia software (kama burpsuite, paros, httrack na spidering tools nyingine pia hata kama umeandika script yako ya kufanya spidering ya link).

Kila mbofyo kwenye tangazo huchunguzwa, Google ina mifumo ya kisasa ya kutambua mibofyo isiyo sahihi na kuiondoa kwenye click count. Google inapobaini kuwa mibofyo si sahihi, huichuja kiotomatiki na haitawekwa kwenye estimate earn pia ndio maana wakati mwingine unaweza ona ulikuwa labda umeingiza $15 ghafla zinashuka zinakuwa $10.
Hapa kuna mifano michache ya kile Google inaweza kuzingatia kuwa mibofyo isiyo sahihi:
  • Wamiliki wa tovuti kubofya matangazo yao wenyewe ili kuongeza faida.
  • Mibofyo kwa zana za kubofya kiotomatiki, roboti au kutumia spidering tool
  • mtembeleaji wa tovuti anapobofya tangazo moja mara mbili, mbofyo wa pili ni invalid
invalid traffic (specific kwa ads si traffic za web)
Trafiki batili ni mfumuko wa mibofyo na impression kwenye tovuti ambayo haitoki kwa watumiaji halisi waliovutiwa na maudhui. Trafiki batili hutokea kwa bahati mbaya na kwa nia ya ulaghai.
Note: hichi ni chanzo cha watu wengi kufungiwa account zao, mimi pia sijafungiwa akaunti yangu ila ukweli ni kwamba nina trick ambayo kwa kiasi fulani inanitengenezea invalid traffic mfano unaweza angalia hapa uniambie wapi nimetric user [President Samia Suluhu Announces New Teacher Positions in Tanzania in 2022]
Trafiki batili inajumuisha mibofyo au maonyesho yoyote ambayo yanaweza kuongeza mapato ya mchapishaji.

Trafiki batili inajumuisha
  • Mibofyo itokanayo na wachapishaji wanapobofya matangazo yao ya moja kwa moja
  • Mibofyo ya tangazo mara kwa mara kutoka kwa user mmoja
  • mibofyo itokanayo na Wachapishaji kuwaomba/kuwataka user wabofye matangazo yao (mifano inaweza kujumuisha: lugha yoyote inayowahimiza watumiaji kubofya matangazo)
  • Zana za kubofya kiotomatiki au vyanzo vya trafiki, roboti au programu nyingine potofu.
  • mibofyo itokanayo na popup ads
  • mibofyo itokanayo na popunder ads
Mibofyo kwenye matangazo ya Google lazima itokane na mambo yanayovutia users(visitor), na mbinu yoyote ambayo inazalisha mibofyo kwa njia isiyo halali imepigwa marufuku. google wakiona viwango vya juu vya trafiki batili kwenye akaunti yako, wanaweza kusimamisha au kuzima akaunti ili kulinda watangazaji na watembeleaji. Zaidi ya hayo, ikiwa hawawezi kuthibitisha ubora wa trafiki yako, wanaweza kuzuia au kuzima uonyeshaji wa matangazo kwenye tovuti yako. Kwa sababu ya mibofyo isiyo sahihi, unaweza pia kuona tofauti kati ya mapato yako yaliyokadiriwa (estimate earn) na actual earn.

google wanaelewa kuwa watembeleaji wengine wanaweza kuzalisha trafiki batili kwenye matangazo yako bila ujuzi au ruhusa yako. Hata hivyo, hatimaye ni wajibu wako kama mchapishaji kuhakikisha kwamba trafiki kwenye matangazo yako ni halali. Kwa sababu hii, google wanapendekeza sana ukague site yako ili kuzuia trafiki isiyo sahihi.

Mwendelezo Tarehe 18 Juni 2022
Malengo ya leo

  • Jinsi ya kufungua blogger blogu
  • Jinsi ya kufungua wordpress blogu
Jinsi ya kufungua blogger blogu

Nakufundisha jinsi ya kuanzisha blogu mpya kwenye Blogger, na kuunda chapisho jipya kwenye ukurasa wako wa blogu, kwa kutumia kivinjari cha intaneti (chrome, firefox, opera, safari and more. Unaweza kutumia kivinjari chochote cha intaneti ila nashauri sana utumie chrome

Kutengeneza Blogu

(i)Fungua Blogger katika kivinjari chako cha mtandao (chrome). Andika Blogger.com - Create a unique and beautiful blog easily. kwenye upau wa anwani, na ubonyeze ↵ Enter kibodi yako.

1.png

(ii)Bofya kitufe cha Create blog. Hiki ni kitufe cha rangi ya chungwa katikati ya ukurasa. Utahitajika uingie ukitumia akaunti yako ya Google.
2.png

(iii) Ingia ukitumia akaunti yako ya Google.
  • Utahitaji kutumia akaunti yako ya Google kuingia na kutumia Blogger.
  • Weka barua pepe yako ya Google au nambari ya simu.
  • Bofya next.
  • Weka nenosiri la akaunti yako.
  • Bofya next.
  • Ikiwa huna akaunti ya Google, bofya kiungo cha buluu Create account kilicho chini ya fomu ya kuingia
(iv) Weka kichwa cha blogu yako (title ya blog) katika sehemu ya "Kichwa (title)". Unapoingia, utaombwa kuunda blogu yako mpya katika dirisha ibukizi (popup window). Bofya sehemu baada ya "Kichwa(title)" kwenye dirisha ibukizi, na uweke jina la blogu.
3.png

4.png

5.png

6.png

Ikiwa huoni dirisha hili kiotomatiki (automatically), bofya kitufe cha rangi ya chungwa CREATE NEW BLOG.

(v) Bonyeza kitufe cha create blog. Hiki ni kitufe cha rangi ya chungwa kwenye sehemu ya chini kulia ya dirisha ibukizi. blogu yako mpya itaundwa, na utapelekwa kwenye dashibodi kama msimamizi wa blogu.
7.png

(vi) Bonyeza kitufe cha chapisho Jipya (new post). Hiki ni kitufe cha rangi ya chungwa karibu na kona ya juu kushoto ya dashibodi ya msimamizi wa blogu. Itafungua kihariri maandishi cha Blogger (blogger text editor), na kukuruhusu kuunda chapisho lako jipya.
8.png

9.png

10.png

11.png

Hapa nimeonyesha jinsi unavyoweza kuunda blogu kwenye google blogger matumaini yangu ni kwamba umepata mwanga. Lakini kwa wewe blogger unayetaka mafanikio kupitia blogu bado utakuwa na safari ndefu sana. hivyo basi hili linanisukuma nizungumzie jinsi ya kubinafsisha kiolezo cha blogger (blogger template customization) na kuongeza kiolezo kutoka kwenye third-part sites

Manufaa ya Kubadili Kiolezo cha Blogu
Kuwa na uwezo wa kunyumbua kiolezo cha blogger kunaweza kukupa faida nyingi. Hapa kuna mbili za muhimu zaidi:
(i) Unaweza Kubinafsisha (kucustomize) Kiolezo Ili Kukidhi Mahitaji Yako.
Ikiwa unataka kubadilisha mpangilio, rangi, au fonti, unaweza kufanya hivyo bila kulazimika kuanza kutengeneza kiolezo kutoka mwanzo. Unachohitaji ni ubunifu kidogo na kupata access ya source codes za kiolezo. Hii ina maana kwamba unaweza kufanya blogu yako ionekane na kujisikia kama yako, bila kutumia saa nyingi katika kuiumbiza.

(ii) Unaweza Kuongeza Vipengele Vipya na Maudhui kwa Urahisi Bila Kutumia nguvu kubwa wazungu wanakuambia ni buruta na dondosha (grad and drop). Iwapo una wazo la kipengele kipya au sasisho la maudhui ya blogu yako unafanya tu ubinafsishaji wa template.

Unachohitaji ni ujuzi mdogo wa kucode “a little bit of coding knowledge” (au usaidizi fulani kutoka kwa rafiki), na unaweza kuongeza kipengele chako kipya au maudhui kwa urahisi bila usumbufu wowote mkubwa. kwa kuwa kiolezo tayari kimeandikwa kwa njia rahisi.

mada nyingine zinazofuata
  • Nitazungumzia juu ya uboreshaji wa injini ya utaftaji (SEO) kwa google Blogger
  • Nitakufundisha kuhusu schema na jinsi ya kuweka schema
  • Nitakufundisha jinsi ya kuweka maneno muhimu | seo keywords
  • Nitakufundisha jinsi ya kuongeza kasi ya upakiaji kwenye blogu yako | loading speed | lcp | csl etc
Jinsi ya Kubadilisha Mandhari katika Blogu (Blogger Theme)?
Nimegawanya mafunzo haya katika njia mbili. Kwa sababu wakati mwingine njia ya kupakia(uploading method) haifanyi kazi vizuri. endapo huwezi kufanya mabadiliko kwa njia hii. hivyo utaweza kufanya mabadiliko kwa kufuata njia ya pili.

Njia ya 1 - Kwa kupakia Mandhari (uploading theme)

Njia hii ndiyo njia ya msingi na ya kitaalamu ya kubadilisha mandhari ya blogu yako ya Blogger. Unaweza kubadilisha mandhari yako kwa usalama sana kwa kufuata njia hii. Unahitaji tu kupakia file lako la xml la mandhari. Ili kujua jinsi, fuata hatua -

Hatua ya 1 - Ingia kwenye Blogu na uchague blogu ambapo ungependa kubadilisha mandhari.

Hatua ya 2 - Sasa nenda kwenye menyu ya Mandhari(Theme) katika dashibodi ya Blogger.

1.png

Hatua ya 3 - Bofya kwenye kitufe cha "Mshale" kando ya kitufe cha Geuza kukufaa(customize). (itafungua menyu kunjuzi ((it will open a dropdown menu).)
2.png

Hatua ya 4 - Bofya tu kwenye Rejesha(restore) kwenye menyu kunjuzi na kisha kitufe cha "Pakia (upload)". (itafungua kidhibiti faili cha kompyuta yako.)
3.png

Unaweza kupakua template hapa utapa zip file kwenye computer yako hivyo basi unzip file hilo fuatilia step inayofuata
Download Theme folder here

Hatua ya 5 - chagua faili ya XML ya mandhari kutoka kwenye folder.

Hatua ya 6 - Bonyeza kitufe cha "Fungua (open)" kwenye dirisha. (Itaanza mchakato wa mandhari ya Kurejesha(kurestore).)
4.png

ikiwa theme yako haikupandishwa kwa ufanisi, fuata njia inayofuata. Ninakuhakikishia kuwa mandhari itabadilishwa kwa ufanisi.

Njia ya 2 - Kwa kureplace HTML ya theme.

Ni njia ya mwisho ninamaanisha kwa njia hii theme yako itabadilika 100%. Wakati mwingine mandhari haiwezi kubadilika kwa njia ya awali. Kwa njia hii, theme yako itabadilika kwa mafanikio.

Hatua ya 1 - Ingia kwenye Blogu na uchague blogu ambapo ungependa kubadilisha mandhari.

Hatua ya 2 - Sasa nenda kwenye menyu ya Mandhari(theme) katika dashibodi ya Blogger.

Hatua ya 3 - Bofya kwenye kitufe cha "Mshale" kando ya kitufe cha Geuza kukufaa. (itafungua menyu kunjuzi.)

Hatua ya 4 - Bofya tu kwenye chaguo la Hariri HTML(edit html) kwenye menyu kunjuzi. (Itafungua html theme editor.)
5.png

Hatua ya 5 - Katika folder ya mandhari ulilounzip awali, fungua faili ya XML kwenye Notepad na unakili source code zote.

Hatua ya 6 – paste source code zote katika html theme editor ya blogu yako ya Blogger.

6.png

Hatua ya 7 - Hatimaye bonyeza kitufe cha ku save.

Hongera, utakuwa umebadili theme yako

ukiitazama blogu yako ina mandhari nzuri sasa na inakufanya ujisikie vizuri kujiona angalau umefanya kazi nzuri.
7.png

NITAENDELEA NA VIPENGELE NILIVYOBAKIZA KAMA UNA SWALI UNAWEZA ULIZA NA KAMA UNANYONGEZA KWA NILIYOKWISHA ELEZEA JAZILISHIA
 
Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake:
kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula, nitaongelea vitu hivi:
Google adsense:-

  • Google adsense ni nini
  • Maudhui yapi yanaweza kuwekewa google ads
  • Maudhui yapi ambayo hayana sifa kuwekewa google ad
  • website ili ipate google ads inapaswa kuwa na sifa zipi
  • google adsense estimate metric
  • invalid click and invalid traffic
  • jinsi ya kufungua blog
  • jinsi ya kufungua adsense account
  • Jinsi unavyoweza kupokea malipo
Search engine optimization for blogger blog:-
  • On-page SEO
  • off-page SEO
  • Structured data (schema)
  • sitemap
  • jinsi gani ya kufanya website yako iaminike
  • Search Engine Crawler | SE BOT
Analytical tools
  • Google Analytics
    • session
    • bounce rate
    • userflow
  • search console
    • search perfomance
    • coverage
  • Schema Markup Testing Tool | Google Search Central
Additional tool za kujichotea traffic
  • Google news
  • Google Discover
  • facebook group
  • telegram channel
  • Facebook page
  • verified insta account(optional)
  • linkedin account
  • Researchgate account
  • pinterest account
  • youtube channel
  • more social media account if any
1. GOOGLE ADSENSE
1.0 Google Adsense ni nini?

Google Adsense ni programu inayoendeshwa na Google ambapo wawekaji wa maudhui kama makala, news article, machapisho ya blog, picha, video, au matangazo ya midia kwenye kurasa za wavuti wanaweza kujisajili kwenye programu hii na kuwa kama partner hivyo basi wakaweka ads space kwenye kurasa za wavuti na kuruhusu google kutangaza kwenye tovuti zao. Matangazo haya yanasimamiwa na Google.
wachapishaji (content publisher | content creator) wanaweza kujivunia mapato kwa kila mbofyo au kwa kila onyesho la tangazo (impression).
Note ni sehemu ya mafunzo:
mfano wa website/blog yenye google adsense [Kilimanjaroyetu]
1.1 Maudhui yapi yanaweza kuwekewa google ads
Ili tovuti yako iwe na sifa za kupata Google AdS, inapaswa kuwa na maudhui ya kipekee (unique content) ambayo yanavutia watembeleaji . Kabla ya kujisajili kwa Adsense, inapendekezwa ukague kurasa zako ili kuhakikisha kuwa ziko katika hali nzuri.
Note nilipochapa unique content haimanishi kwamba tovuti au blog yako iwe na content tu ambazo hazijawahi kuonekana kwenye Search engine hapa namaanisha add value kwenye content zilizopo angalau kuwe na uniqueness ukilinganisha na content za mwanzo utaelewa zaidi nitakapoelezea kuhusu schema (structured data)
1.2 Maudhui yapi ambayo hayana sifa kuwekewa google ads

Content zenye utupu

Sexually gratifying, maudhui yanayochochea ngono na/au yanayokusudiwa kusababisha msisimko wa kingono.
Mifano: content zazoonesha matiti, matako, mavazi yanayoonesha utupu , sehemu za mwili za siri ambazo zimetiwa ukungu

discusses sexual fetishes
Mifano:
Voyeurism, sadomasochism.

Maudhui yanayohusu burudani za ngono.
Mifano:
Sherehe za filamu za ponografia, adult webcam services,

Maudhui yanyopromote biashara za ngono.
Mifano: Vichezeo vya ngono, genital enhancement tools

Hutoa ushauri kuhusu utendaji wa ngono.
Mifano: Vidokezo vya ngono

Maudhui ya kutisha
picha za kuchukiza
Mifano: Damu, utumbo, majimaji ya ngono, uchafu wa binadamu au wanyama, picha za matukio ya uhalifu au ajali

Maudhui yanayoonyesha vitendo vya ukatili
Mifano: Akaunti au picha za risasi, milipuko, au milipuko ya mabomu

Maudhui yenye lugha chafu
Mifano:
Maneno ya matusi au laana, tofauti na tahajia zisizo sahihi za lugha chafu

maudhui kuhusu vilipuzi Vilipuzi
yanakuza uuzaji wa bidhaa ambazo zimeundwa kulipuka na zinaweza kusababisha uharibifu kwa watu au mali iliyo karibu.
Mifano: mabomu ya kemikali, mabomu au fataki .

Maudhui kuhusu uunganishaji, uboreshaji au upatikanaji wa vitu vinavyolipuka
Mifano:
Miongozo ya kutengeneza mabomu; programu au vifaa vinavyokusudiwa uchapishaji wa 3D part za mabomu au vifaa vingine vya kulipuka.

Content zinazobariki biashara za madawa ya kulevya
References soma hapa:
[Google Publisher Restrictions - Google AdSense Help]

1.3. website ili ipate google ads inapaswa kuwa na sifa zipi
Kuna baadhi ya sheria na sifa ambazo Google inatarajia kutoka kwa tovuti yako
  • Angalau machapisho 10 hadi 20 ya blogu yaliyofanyiwa SEO na yawe yameandikwa kwa google ads surppotive language
  • Sera ya faragha (privacy policy)
  • Kanusho (disclamer)
  • Sheria na masharti (terms of service and condition) (ikiwa una chochote kinachohusiana na pesa)
  • Contact us information
  • Kikoa lazima kiwe cha top level domain .com, .in, .net, .info, E.t.c
  • Chapisha Machapisho Yako Kwa Kuendelea
  • hakikisha hakuna maudhui ya hakimiliki yaliyochapishwa kwenye tovuti yako.
  • Tovuti lazima iwe na SSL certificate so user watumie https.
  • Tumia responsive themes.
  • Tovuti au blogu yako inapaswa kuwa na umri wa miezi 6. (Sawa, najua kwamba Google hawajatilia mkazo sana Timu ya Google Adsense endapo imereview tovuti yako na kuona ni nzuri vya kutosha basi wanaidhinisha hata ikiwa ina umri wa miezi 1-2.)
1.4. google adsense estimate metric
Page views

Ni mara ambazo ukurasa wa wavuti (webpage) umekuwa loaded kwenye browser single user anaweza akawatengeneza page view nyingi
Clicks (mibofyo)
Kwa matangazo ya kawaida ya Google, huhesabu mbofyo mtumiaji anapobofya tangazo.
Cost per Click (CPC )
Zabuni ya Gharama kwa mbofyo inamaanisha kuwa hiyo ndio gharama ambayo advertiser analipia kila mbofyo kwenye matangazo yake. Kwa kampeni za zabuni za CPC, advertiser anaweka bei kwa kila mbofyo - au "max. CPC" - hicho ndicho kiasi ambacho yuko tayari kulipa kwa kubofya tangazo lake.
kwa upande wa google adsense kwakuwa google ndio wanahandle matangazo ya advertiser so wanamodify CPC

matangazo huweza kuwa hata na cpc hadi $6 ila kibongo bongo cpc ikiwa juu sana ni $1, $2 au $3
kiwango cha ingizo lako la cku hukokotolewa kwa kuzidisha cpc
Estimate earn=CPC*Clicks
cpc=$0.05
clicks=300
Estimate Earn=$0.05*300
estimate Earn=$15
Note: nitaongelea mbeleni ni jinsi gani ya kuhusisha higher paid keyword, kutengeneza niche ya site pamoja na kufanya traffic segimentation yote haya ni kwa ajili ya kuongeza cpc

The page clickthrough rate (CTR)
uwiano (ratio) ya kubofya tangazo (CTR) ni idadi ya mibofyo ya tangazo gawanya kwa page views. CTR = Mibofyo / page views. Kwa mfano, ukipokea mibofyo 300 kwa page views 1000, ukurasa wako wa CTR utakuwa 0.3%. CTR ni kipimo cha ubora kama matangazo ya advertiser yanahusiana na machapisho yako endapo ads ni relevant na content zako bac CTR itakuwa kubwa

Impression
huhesabiwa kwa kila tangazo linapooneshwa kwenye kifaa cha mtembeleaji. Ni idadi ya matangazo yanayooneka user wanapofungua tovuti yako
mfano impression ni 10000 per day it means tovuti yako imeonesha matangazo elfu kumi kwa siku hiyo

Page RPM
(Page revenue per thousand impressions )Mapato ya ukurasa kwa kila maonyesho ya matangazo elfu moja (RPM) hukokotolewa kwa kugawa mapato yako yaliyokadiriwa (Estimate Earn) kwa idadi ya mara ambazo ukurasa umetazamwa, kisha kuzidishwa na 1000. page RPM = (Estimate Earn / page view) * 1000
mfano Estimate Earn =$15
Page view =10000
Page rpm=(15/10000)*1000
Page RPM=$1.5
NITAENDELEA NA VIPENGELE NILIVYOBAKIZA KAMA UNA SWALI UNAWEZA ULIZA NA KAMA UNANYONGEZA KWA NILIYOKWISHA ELEZEA JAZILISHIA
NIMEKUELEWA SANA ILA SHIDA YANGU NI ISSUE MOJA TU
 
nimeongezea kipengele pale nilipoishia jana next time nitaelezea kuhusu kufungua blog pia kama una ushauri au swali lolote unaweza kuuliza nitalijibu ninapoendelea kuchapa vipengele nilivyoahidi nitavichapa
Note pia nitaongelea kuhusu organic traffic
 
Mkuu nimechek blog yako iko vizur sana (design wise) , kwenye speed iko safi pia.
Naona kwa adsense utakuwa unaacha hela nyingi sana mezani.. ebu jaribu Ezoic unaweza ukaongeza mapato japo kuwa traffic yako kubwa ni Tz.
Nisawa ushauri mzuri ila kuwa na matangazo mengi sana pia si vyema utaelewa nikifika kwenye seo
pia upande wa loading speed site yangu ni mbovu coz kuna external javascript codes, files, na matangazo mengi usiangalie site kwa macho ukasema ipo speed check speed yake kwa kutumia pagespeed tool [PageSpeed Insights] utapata jibu
 
Uko vizur, ila jibu lako linaonyesha huijui Ezoic vizur, Ezoic ni more than monetisation, wana features nyingi sana za kuimprove site speed na SEO. Ni certified Google ads partner ,so utapata matangazo yote ya Adsense kupitia wao yakiwa na thamani zaidi.
Nakushauri ukipata muda pitaa kuhusu wao.

Nimechek site yako kwenye Google sitespeed insights pia nikaingalia kwenye gtmetrix, naweza nikasema speed yake inaridhisha.

Ni kweli matangazo yanaathiri site speed. Ila Ezoic wana feature ya ku lazy-lody ads, so matangazo yataonekana baada ya vitu vingine muhimu kuload.

Pia site speed sio factor kuu kwenye SEO ukilinganisha na quality content.
 
Asante sana mkuu nitafuatilia hilo na ni kweli sijui hiyo Ezoic
 
Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake:
kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula, nitaongelea vitu hivi:
Google adsense:-

  • Google adsense ni nini
  • Maudhui yapi yanaweza kuwekewa google ads
  • Maudhui yapi ambayo hayana sifa kuwekewa google ad
  • Website ili ipate google ads inapaswa kuwa na sifa zipi
  • Google adsense estimate metric
  • Invalid click and invalid traffic
  • Jinsi ya kufungua blog
  • Jinsi ya kufungua adsense account
  • Jinsi unavyoweza kupokea malipo
Search engine optimization for blogger blog:-
  • On-page SEO
  • Off-page SEO
  • Structured data (schema)
  • Sitemap
  • Jinsi gani ya kufanya website yako iaminike
  • Search Engine Crawler | SE BOT
Analytical tools
  • Google Analytics
    • Session
    • Bounce rate
    • Userflow
  • Search console
    • Search perfomance
    • Coverage
  • Schema Markup Testing Tool | Google Search Central
Additional tool za kujichotea traffic
  • Google news
  • Google Discover
  • facebook group
  • telegram channel
  • Facebook page
  • verified insta account(optional)
  • linkedin account
  • Researchgate account
  • pinterest account
  • youtube channel
  • more social media account if any
1. GOOGLE ADSENSE
1.0 Google Adsense ni nini?

Google Adsense ni programu inayoendeshwa na Google ambapo wawekaji wa maudhui kama makala, news article, machapisho ya blog, picha, video, au matangazo ya midia kwenye kurasa za wavuti wanaweza kujisajili kwenye programu hii na kuwa kama partner hivyo basi wakaweka ads space kwenye kurasa za wavuti na kuruhusu google kutangaza kwenye tovuti zao. Matangazo haya yanasimamiwa na Google.
wachapishaji (content publisher | content creator) wanaweza kujivunia mapato kwa kila mbofyo au kwa kila onyesho la tangazo (impression).
Note ni sehemu ya mafunzo:
Mfano wa website/blog yenye google adsense [Kilimanjaroyetu]
1.1 Maudhui yapi yanaweza kuwekewa google ads
Ili tovuti yako iwe na sifa za kupata Google AdS, inapaswa kuwa na maudhui ya kipekee (unique content) ambayo yanavutia watembeleaji. Kabla ya kujisajili kwa Adsense, inapendekezwa ukague kurasa zako ili kuhakikisha kuwa ziko katika hali nzuri.

Note nilipochapa unique content haimanishi kwamba tovuti au blog yako iwe na content tu ambazo hazijawahi kuonekana kwenye Search engine hapa namaanisha add value kwenye content zilizopo angalau kuwe na uniqueness ukilinganisha na content za mwanzo utaelewa zaidi nitakapoelezea kuhusu schema (structured data)

1.2 Maudhui yapi ambayo hayana sifa kuwekewa google ads

Content zenye utupu

Sexually gratifying, maudhui yanayochochea ngono na/au yanayokusudiwa kusababisha msisimko wa kingono.
Mifano: content zinazoonesha matiti, matako, mavazi yanayoonesha utupu, sehemu za mwili za siri ambazo zimetiwa ukungu.

Discusses sexual fetishes
Mifano:
Voyeurism, sadomasochism.

Maudhui yanayohusu burudani za ngono.
Mifano:
Sherehe za filamu za ponografia, adult webcam services,

Maudhui yanyopromote biashara za ngono.
Mifano: Vichezeo vya ngono, genital enhancement tools

Hutoa ushauri kuhusu utendaji wa ngono.
Mifano: Vidokezo vya ngono

Maudhui ya kutisha
Picha za kuchukiza
Mifano: Damu, utumbo, majimaji ya ngono, uchafu wa binadamu au wanyama, picha za matukio ya uhalifu au ajali

Maudhui yanayoonyesha vitendo vya ukatili
Mifano: Akaunti au picha za risasi, milipuko, au milipuko ya mabomu

Maudhui yenye lugha chafu
Mifano:
Maneno ya matusi au laana, tofauti na tahajia zisizo sahihi za lugha chafu

Maudhui kuhusu vilipuzi Vilipuzi
yanakuza uuzaji wa bidhaa ambazo zimeundwa kulipuka na zinaweza kusababisha uharibifu kwa watu au mali iliyo karibu.
Mifano: mabomu ya kemikali, mabomu au fataki .

Maudhui kuhusu uunganishaji, uboreshaji au upatikanaji wa vitu vinavyolipuka
Mifano:
Miongozo ya kutengeneza mabomu; programu au vifaa vinavyokusudiwa uchapishaji wa 3D part za mabomu au vifaa vingine vya kulipuka.

Content zinazobariki biashara za madawa ya kulevya
References soma hapa:
[Google Publisher Restrictions - Google AdSense Help]

1.3. website ili ipate google ads inapaswa kuwa na sifa zipi
Kuna baadhi ya sheria na sifa ambazo Google inatarajia kutoka kwa tovuti yako
  • Angalau machapisho 10 hadi 20 ya blogu yaliyofanyiwa SEO na yawe yameandikwa kwa google ads surppotive language
  • Sera ya faragha (privacy policy)
  • Kanusho (disclamer)
  • Sheria na masharti (terms of service and condition) (ikiwa una chochote kinachohusiana na pesa)
  • Contact us information
  • Kikoa lazima kiwe cha top level domain .com, .in, .net, .info, E.t.c
  • Chapisha Machapisho Yako Kwa Kuendelea
  • hakikisha hakuna maudhui ya hakimiliki yaliyochapishwa kwenye tovuti yako.
  • Tovuti lazima iwe na SSL certificate so user watumie https.
  • Tumia responsive themes.
  • Tovuti au blogu yako inapaswa kuwa na umri wa miezi 6. (Sawa, najua kwamba Google hawajatilia mkazo sana Timu ya Google Adsense endapo imereview tovuti yako na kuona ni nzuri vya kutosha basi wanaidhinisha hata ikiwa ina umri wa miezi 1-2.)
1.4. google adsense estimate metric
Page views

Ni mara ambazo ukurasa wa wavuti (webpage) umekuwa loaded kwenye browser single user anaweza akawatengeneza page view nyingi
Clicks (mibofyo)
Kwa matangazo ya kawaida ya Google, huhesabu mbofyo mtumiaji anapobofya tangazo.
Cost per Click (CPC )
Zabuni ya Gharama kwa mbofyo inamaanisha kuwa hiyo ndio gharama ambayo advertiser analipia kila mbofyo kwenye matangazo yake. Kwa kampeni za zabuni za CPC, advertiser anaweka bei kwa kila mbofyo - au "max. CPC" - hicho ndicho kiasi ambacho yuko tayari kulipa kwa kubofya tangazo lake.
kwa upande wa google adsense kwakuwa google ndio wanahandle matangazo ya advertiser so wanamodify CPC

matangazo huweza kuwa hata na cpc hadi $6 ila kibongo bongo cpc ikiwa juu sana ni $1, $2 au $3
kiwango cha ingizo lako la cku hukokotolewa kwa kuzidisha cpc
Estimate earn=CPC*Clicks
cpc=$0.05
clicks=300
Estimate Earn=$0.05*300
estimate Earn=$15
Note: nitaongelea mbeleni ni jinsi gani ya kuhusisha higher paid keyword, kutengeneza niche ya site pamoja na kufanya traffic segimentation yote haya ni kwa ajili ya kuongeza cpc

The page clickthrough rate (CTR)
uwiano (ratio) ya kubofya tangazo (CTR) ni idadi ya mibofyo ya tangazo gawanya kwa page views. CTR = Mibofyo / page views. Kwa mfano, ukipokea mibofyo 300 kwa page views 1000, ukurasa wako wa CTR utakuwa 0.3%. CTR ni kipimo cha ubora kama matangazo ya advertiser yanahusiana na machapisho yako endapo ads ni relevant na content zako bac CTR itakuwa kubwa

Impression
huhesabiwa kwa kila tangazo linapooneshwa kwenye kifaa cha mtembeleaji. Ni idadi ya matangazo yanayooneka user wanapofungua tovuti yako
mfano impression ni 10000 per day it means tovuti yako imeonesha matangazo elfu kumi kwa siku hiyo

Page RPM
(Page revenue per thousand impressions )Mapato ya ukurasa kwa kila maonyesho ya matangazo elfu moja (RPM) hukokotolewa kwa kugawa mapato yako yaliyokadiriwa (Estimate Earn) kwa idadi ya mara ambazo ukurasa umetazamwa, kisha kuzidishwa na 1000. page RPM = (Estimate Earn / page view) * 1000
mfano Estimate Earn =$15
Page view =10000
Page rpm=(15/10000)*1000
Page RPM=$1.5
1.5 Invalid click and invalid traffic
Invalid click(
Mibofyo isiyo sahihi)
Mibofyo kwenye matangazo ambayo Google inachukulia kuwa si halali, kama vile kubofya bila kukusudia au kubofya kwa kutumia software (kama burpsuite, paros, httrack na spidering tools nyingine pia hata kama umeandika script yako ya kufanya spidering ya link).

Kila mbofyo kwenye tangazo huchunguzwa, Google ina mifumo ya kisasa ya kutambua mibofyo isiyo sahihi na kuiondoa kwenye click count. Google inapobaini kuwa mibofyo si sahihi, huichuja kiotomatiki na haitawekwa kwenye estimate earn pia ndio maana wakati mwingine unaweza ona ulikuwa labda umeingiza $15 ghafla zinashuka zinakuwa $10.
Hapa kuna mifano michache ya kile Google inaweza kuzingatia kuwa mibofyo isiyo sahihi:
  • Wamiliki wa tovuti kubofya matangazo yao wenyewe ili kuongeza faida.
  • Mibofyo kwa zana za kubofya kiotomatiki, roboti au kutumia spidering tool
  • mtembeleaji wa tovuti anapobofya tangazo moja mara mbili, mbofyo wa pili ni invalid
invalid traffic (specific kwa ads si traffic za web)
Trafiki batili ni mfumuko wa mibofyo na impression kwenye tovuti ambayo haitoki kwa watumiaji halisi waliovutiwa na maudhui. Trafiki batili hutokea kwa bahati mbaya na kwa nia ya ulaghai.
Note: hichi ni chanzo cha watu wengi kufungiwa account zao, mimi pia sijafungiwa akaunti yangu ila ukweli ni kwamba nina trick ambayo kwa kiasi fulani inanitengenezea invalid traffic mfano unaweza angalia hapa uniambie wapi nimetric user [President Samia Suluhu Announces New Teacher Positions in Tanzania in 2022]
Trafiki batili inajumuisha mibofyo au maonyesho yoyote ambayo yanaweza kuongeza mapato ya mchapishaji.

Trafiki batili inajumuisha
  • Mibofyo itokanayo na wachapishaji wanapobofya matangazo yao ya moja kwa moja
  • Mibofyo ya tangazo mara kwa mara kutoka kwa user mmoja
  • mibofyo itokanayo na Wachapishaji kuwaomba/kuwataka user wabofye matangazo yao (mifano inaweza kujumuisha: lugha yoyote inayowahimiza watumiaji kubofya matangazo)
  • Zana za kubofya kiotomatiki au vyanzo vya trafiki, roboti au programu nyingine potofu.
  • mibofyo itokanayo na popup ads
  • mibofyo itokanayo na popunder ads
Mibofyo kwenye matangazo ya Google lazima itokane na mambo yanayovutia users(visitor), na mbinu yoyote ambayo inazalisha mibofyo kwa njia isiyo halali imepigwa marufuku. google wakiona viwango vya juu vya trafiki batili kwenye akaunti yako, wanaweza kusimamisha au kuzima akaunti ili kulinda watangazaji na watembeleaji. Zaidi ya hayo, ikiwa hawawezi kuthibitisha ubora wa trafiki yako, wanaweza kuzuia au kuzima uonyeshaji wa matangazo kwenye tovuti yako. Kwa sababu ya mibofyo isiyo sahihi, unaweza pia kuona tofauti kati ya mapato yako yaliyokadiriwa (estimate earn) na actual earn.

google wanaelewa kuwa watembeleaji wengine wanaweza kuzalisha trafiki batili kwenye matangazo yako bila ujuzi au ruhusa yako. Hata hivyo, hatimaye ni wajibu wako kama mchapishaji kuhakikisha kwamba trafiki kwenye matangazo yako ni halali. Kwa sababu hii, google wanapendekeza sana ukague site yako ili kuzuia trafiki isiyo sahihi.
NITAENDELEA NA VIPENGELE NILIVYOBAKIZA KAMA UNA SWALI UNAWEZA ULIZA NA KAMA UNANYONGEZA KWA NILIYOKWISHA ELEZEA JAZILISHIA
Endeleza chakula cha ubongo mkuu nahitaji malisho

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Sijalipia chochote zaidi ya domain tena Godady wanakupa mwaka mmoja kwa $1.8 hapo ukikadiria na makato ya malipo ni kama 4000 na chenji inabaki kwenye account
Shukurani nilitaka kufungua kwa kutumia jina fulani ila ndio domain ilisha chukuliwa.
Ila kuhusu Google Adsence content zikiwa za kingereza ndio inakuwa rahisi kupata matangazo
 
Sijalipia chochote zaidi ya domain tena Godady wanakupa mwaka mmoja kwa $1.8 hapo ukikadiria na makato ya malipo ni kama 4000 na chenji inabaki kwenye account
Harafu mkuu nilipitia Website yako niliona option ya kubadili lugha kingereza na kiswahili vipi hiyo ni setting zako au na kuhusu kulipia domain ulitumia njia gani ya malipo.
 
Back
Top Bottom