Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,240
- 12,762
Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30%
Huu mfumo siyo rafiki sana. Unatumia Visa, mastercard nk, mifumo ambayo si rafiki bongo. Bongo mifumo rafiki ya malipo ni kulipa kwa simu.
Sasa naona app ya Mange na Yerricko malipo yao yanafanyika kwa simu na nje ya app. Naomba kujua wamewezaje bila kuingia matatani na google? Au kuna namna ya kukwepa vikwazo?