Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.
Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"
Iko hivi.....
Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao.
Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba.
Maana huwa naingia...
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo.
Rais Samia Suluhu Hassan...
Jamani vitu vinazidi kupaa bei kana kwamba hatuna wa kutusemea,jmosi nilinunua cement kwa 20,000/=
Leo nimedamka tena kwenda kununua cha ajabu,imepanda na kufika 21000/=
Sasa najiuliza hii cement nayo inatoka ng'ambo ya nchi? Je shida ni material au mafuta au nini au serikali nayo imeongeza...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na kuwalipa kwa Kodi zetu.
Wakati mmachinga wa kwanza anaanza kuweka biashara sehemu isiyo sahihi viongozi...
Nawasalimu wote. Nitaangazia nyanja kadhaa na nitakapoweza tena mifano. Pale patakapopungua naomba mjazie.
Hivi karibuni makampuni ya mawasiliano yaliongeza karibia kwa 50% gharama za Internet kwa Watumiaji kwenye ile option waliojificha humo kama "Offer" ya mtandao! GB tatu kwa mfano kwa...
TAMISEMI imetoa maelekezo kuwa gharama ya kujenga darasa moja kwa fedha za msaada wa Covid-19 ni Tshs.20,000,000. Kama majengo haya yatajengwa na Wakandarasi waliosajiliwa naona haya hayakutiliwa maanani:-
(1) Mkandarasi aliyesajiliwa anapolipwa lazima akatwe withholding tax ambayo ni 10% ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa kasi"
Amesema, "Nimeingia Kilimanjaro nikawa nawaambia wenzangu mbona huku watu hawana habari...
Ninafuatilia maisha ya mama mmoja huko Arusha aliyekaa kwenye oxygeni kwa miezi miwili na familia kutakuwa kulipa zaidi ya milioni thelesini. Katika kipindi ambacho covid ni agenda ya Dunia napata fundisho kwamba ni watu wachache Sana wenye uchumi wakuweza kulipia oxygen.
Naomba wenye utaalam...
Habarini za majukumu wakuu.
DOTLINE CONTRACTORS , Tuna kufanyia Design ya wazo la ramani/nyumba utakayo, tunakushauri kulingana na eneo unalotaka nyumba ijengwe pamoja na budget yako, tunakupa gharama za ujenzi pamoja na kukujengea.
Karibu ofisini kwetu Mlimani City kwa maelezo zaidi...
Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100.
Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
BASHE : SERIKALI ITAWALINDA WAKULIMA KWA GHARAMA ZOTE
Tanganyika, Katavi.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameweka wazi msimamo wa serikali juu ya kuwalinda wakulima nchini kufuatia muingiliano wa kisekta wa mara kwa mara ambao husababisha wakulima kubeba mzigo mkubwa zaidi wa gharama...
Habari ya wikiendi wana JF wenzangu.
Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni.
Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data.
Ile kupiga...
Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma || Rais Joao wa Angola yeye ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia
====
Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa...
Habari za Leo wakuu,
Naomba kufahamishwa katika hili.
Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
Hivi wanazengo wenzangu mnafahamu ni kwanini Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?
" Hakuna kama Samia "
Kutoka Dar es salaam kwenda New York Marekani ni Jumla ya Km 12,050 sawa na jumla ya Km 24,100 two ways,ikiwa ni sawa na...
Wadau naomba kujuzwa hivi ni kwanini gharama za madirisha ya PVc ni juu mnoo? Na je kama kuna mtu ana connection na fundi anaye tengeneza PVC Windows kwa bei nafuu embu weka connection fasta.
SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs).
Na Galila Wabanhu.
Kwanza watanzania tutambue kuwa, Maendeleo endelevu ni mkakati wa kuboresha hali ya maisha wakati wa kuhifadhi...
Mara nyingi tumekuwa tukilaumu au kuwashangaa watu wenye simu za gharama hadi 3m huku hawana kazi au wanalalamika hawawezi kujiajiri kwa kukosa mitaji. Tunawashangaa kwasababu hela hio alionunulia simu au alionunuliwa simu ingeweza kumpa mtaji mdogo ambao akiwa makini anaweza kuukuza ukawa...