RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,992
- 4,411
Mambo vipi wadau?
Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia kabisa kwenye mishipa kama kuna chemical zinamwagika zinahitaji pombe,naombeni ushauri je ni sahihi kuacha pombe ghafla? nikaze nitavuka tu na sitopata shida?