The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.
Tanzania ni nchi ambao imejaa comedy ukiwa serious sana na mambo Tanzania na hujui kucheza kiunafiki utaugua kwa stress na kufa mapema.
Mtu anaendesha gari la 600m na anasindikizwa na escote ya magri zaid ya 9 Kila v8 ni 200m unamchangia 250k achukue form ya Uraisi loh............
Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu.
Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic na kufikia hatua ya kutukana, kukejeli na kudharau wanaobeza muujiza wa gesi.
Kama huyu ndio pastor...
Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY
KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU
NDUGU YANGU KAKA PT
BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK
NDIO MAANA...
Sikilizeni hii wakuu,
Mtia nia nafasi ya ubunge Jimbo la Makambako kupitia chama cha mapinduzi jimbo la Makambako Deo Sanga akijibu swali la katibu wa mtaa wa bwawani umoja wa wanawake Grolia Nyaluke.
Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali
Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
Wanaboadi, hii kitu imekua kimya na huisikii popote tena baada ya taifa la shithole kukopa matrilioni ya pesa ambazo kenge tutalipa maisha yetu yote hadi vitukuu vyetu. Hatusikii kwenye bajeti, TRA, dira ya dunia ya bongo wala wapi!
Mchango wake ni nini? Nani anapata maslahi yake? Nani...
Iwe kwa makusudi tu au kwa sababu ya mazingira magumu yanayomzunguka Mtu.
Wapo wale ambao shughuli zao za kila siku hujumuisha kuzungukwa na Mtu au watu wengine,na isivyo bahati kitendo hiki cha kuruhusu gesi kutoka ni tendo linalosababisha fadhaa kubwa kwa Muhusika pale anaposikika na Mtu au...
Wakati Rais Samia anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au TZS374,660milioni sawa na ongezeko la $88.98milioni sawa na TZS231,348milioni ambayo ni 161%.Hii ni karibia mara...
🛢️⛏️ UZI MAALUMU: MADINI, GESI NA MAFUTA ⛏️🛢️
Karibu kwenye uzi huu maalumu ambao utakuwa mahususi kwa mambo yote yanayohusu madini, gesi, na mafuta. Hapa tutaangazia:
✅ Fursa zilizopo kwenye sekta hizi
✅ Changamoto zinazokumba wawekezaji na wananchi
✅ Taarifa na sheria muhimu kuhusu umiliki...
Siku za karibuni nimegundua gesi inaisha haraka Sana nyumbani
Wakati matumizi ni Yale Yale na watu ni wale wale
Sasa Leo nimenunua
Nimefunga Tu mshale unasoma hivo
Hii ni sawa wakuu??
Maana kwenye bili za maji ndo usiseme
Naona kama watanzania tunaonewa kila mahali jamani.
Wale wataalamu...
Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25.
Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano ya kitaifa yaliyoongozwa na vijana, hasa kizazi cha Gen Z, waliokusanyika kuadhimisha mwaka mmoja...
Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu.
Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata maumivu shingoni, kuna muda mdomo unakuwa mchachu kama ana homa.
Kaenda hospitali, kapigwa X-ray na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.