gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchakato wa utoaji wa tenda ya kujaza gesi kwenye Mabasi ya Mwendokasi kwa Lake Oil ulikuwaje?

    Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mayahudi kuwauzia Farao gesi yenye thamani ya Trilioni 90

    Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa. Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia ambapo Yerusalem itaiuzia Kairo gesi yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 35. Kwa mkataba huu...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yawekeana mkataba wa kuiuzia Misri Gesi!!!

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya NIS bilioni 112 (dola bilioni 34.7), ambapo NIS bilioni 58 (dola bilioni 18) zitatumika katika...
  4. TIASSA

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna yeyote aliyewahi kushinda bahati nasibu ya Gesi ya Orxy?

    Ni miezi kazaa SASA tangu promosheni hii ya Gesi yente Kwangua ushinde imepita, ila sikuwa kusikia mtu kashinda hata kikombe, Kwa zile zawadi walizo weka pale kwenye ile sticker . Je, wakuu kuna yeyote aliyewahi kushinda?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara na Mwandishi wa Times Oktoba 18, 2025 Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
  6. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kulala na mtungi wa gesi ndani.

    Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida. Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwendokasi (BRT) wasiachane na magari ya mafuta au gesi wakachukua city bus za umeme mfano Yutong E18.

    Wakuu. Lengo kuu la mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam (na Pwani) kwa gharama nafuu salama. Pamoja na ilo kuu, mengine ni kupunguza msongamano wa magari mjini, kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa kwa hewa ya ukaa (carbon emissions) na kutoa ajira kwa...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Polepole: Tanzania tuna kaya 14,152,803 kwa bei ya Cuba mtungi wa gesi wa 10Kgm tunahitaji tzs 28.3B

    Team, Salaam! Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=. Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  11. prince alex khalifa

    JamiiForums Tanzania NMEIULIZA CHATGPT BEI YA GESI CUBA 20KG HAYA NDO MAJIBU YAKE

    Imedai Huwa inabadilika hivo bei hii inategemeanas
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifa
  14. Clean Energies Group

    JamiiForums Tanzania Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Polepople: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.

    JF Polepole anasema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS. Tanzania tunauziwa 55,000/= TZS. Aisee hii nchi kwishne..
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ntatumia gesi asilia kupowered smelter na refining kwenye mpango wa kukusanya mapato ya usd billion 500+

    Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
  17. Clean Energies Group

    JamiiForums Tanzania Mnaouza gesi msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi kwa usalama wenu

    Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu: msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi. Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)

    Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)? Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
Back
Top Bottom