geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  2. D

    Mauaji ya Milembe huko Geita ni mauaji kama mengine, wanaharakati acheni uchochezi

    Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila. Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine. Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga? Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga? Wafanyabiashara...
  3. P

    Nimefika Geita na wilaya zake, Sijui Kwanini Hayati Magufuli hakujenga Airport Katoro badala ya Chato

    Nimetembelea mkoa wa Geita na wilaya zake, mwezi wote huu. Katoro ni mji ambao umenishangaza sana, mji Unajengeka kisasa, Una majengo ya kifahari, centre Yao imechangamka kuna mzunguko biashara na muingiliano WA watu WA kutosha. Sikuwa na wazo na kununua kiwanja Huku Geita, imenibidi ninunue...
  4. M

    Akana shitaka la Kuvunja Kanisa la Kiaskofu Geita

    Kesi ya Epidius Edward (22), mkazi wa kata ya kalangalala mkoani Geita, mshtakiwa wa makosa mawili la kuingia na kuvunia kanisa pamoia na kuharibu mali za Kanisa katoliki mnamo februari 26, imehairishwa mpaka 25 April baada ya mshtakiwa kukana makosa hayo. Chanzo: EATV Zaidi, soma: Kanisa Kuu...
  5. Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

    Habari zenu wana JamiiForums Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya...
  6. Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  7. DOKEZO Responded Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

    Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi. Chanzo cha tukio hili ni mwendesha boda boda aliuziwa betri ya gari kumbe ilikua ya wizi...
  8. Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

    Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan. Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
  9. Polisi: Ruksa kumrekodi Trafiki anayechukua Rushwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie. Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na mawakala wa vyombo vya usafiri...
  10. Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

    Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho. Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
  11. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
  12. TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

    GEITA. Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita. Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake. Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
  13. Kijana anayedaiwa kuvamia Kanisa la RC Geita aburuzwa kortini

    Kijana Elpidius Edward (22), mkazi wa Mtaa wa Katundu Wilaya ya Geita anayedaiwa kuvamia na kufanya uharibifu katika Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita amefikishwa mahakamani akikabiliwa na makosa mawili ya kuharibu mali. Mshtakiwa huyo aliyefikishwa mahakamani jana Jumatatu Machi...
  14. Serikali kugharamia ukarabati uharibifu wa kanisa Geita

    Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi. Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo. Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati...
  15. Askofu Kassala atoa ‘Dikrii’ ya kufungwa kwa Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita

    Kwa masikitiko makubwa na tumaini kubwa kwa Mungu, napenda kuwataarifu kwamba, huduma zote za ki-ibada na ki-Sakramenti katika Kanisa Kuu la Kiaskofu la Jimbo Katoliki la Geita zamesitishwa kuanzia leo tarehe 27 ya Mwezi Februari ya Mwaka wa Bwana 2023. Uamuzi huu unafuatia tukio la KUFURU NA...
  16. DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

    Habari wakuu, Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama. Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni ipo njia ya mkato kwa wenyeji wa Geita kukatiza kutokea Nyankumbu mbugani kutokea Geita mjini. Hio...
  17. Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

    Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha...
  18. J

    Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  19. B

    Geita. Mjamzito auawa kikatili kwa kuchinjwa, wauaji nao wauawa

    Geita. Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba aliyetambuliwa kwa jina la Renata Elias (27), ameuawa kikatili na mtoto wake wa kambo kwa kuchinjwa shingo huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa kifamilia na tamaa ya mali. Tukio hilo lililotokea usiku wa Februari 17, 2023 linadaiwa kufanywa na...
  20. Geita ya Martin Shigella na siasa mpya ya mwelekeo 2030

    Mh Rais leo yalikuwa maazimisho ya miaka 46 ya CCM, lakini mkoa wa Geita naona una nguvu kubwa sana , binafsi kwa upande wa upizani sioni wa kusimama na chama cha mapinduzi mkoa wa Geita, sina uhakika wa mikoa mingine Lakini nafikiria kuna mwamba anakuja 2030, kanda ziwa unaweza ikatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…