geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Wanafunzi 4 kati ya 88 waripoti Kidato cha Kwanza Geita

    Ikiwa wiki moja imepita tangu kuanza kwa msimu wa masomo mwaka 2023 Tanzania, wanafunzi wanne kati ya wanafunzi 88 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Izumachel iliyopo wilayani Geita mkoani hapo ndio walioripoti katika shule hiyo. Shule hiyo iliyoanza mwaka 2022...
  2. mdukuzi

    Mbunge Musukuma alivyoswekwa lupango baada ya kuongea hadharani kuwa Hayati Magufuli anamiliki hoteli

    Pelekeni watoto shule. Shule hata kama huna hela inaleta busara kujua uongee nini na wapi. Education is better than money. I am sorry. Money is better than Education Watanzani tuna ujinga mmoja, kuamini kuwa umasikini ni sifa nzuri ya kuwa kiongozi, na ujinga huu kuna viongozi wameujua kitambo...
  3. Kipenzi Changu

    Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  4. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

    Mchezo umemalizika Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama GOOOOOOOOOOOOOOOOO 85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake 75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 74' Geita...
  5. figganigga

    Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  6. JanguKamaJangu

    Geita: Serikali yashauri wazazi kutowanunulia simu watoto waliopo shuleni

    Serikali ya Mkoa wa Geita imewataka wazazi mkoani humo kuacha kuwanunulia simu, Watoto wao ambao bado wapo mashuleni ili kuwaepusha na mmomonyoko wa madili unaotokana na mitandao ya kijamii. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita, Tito Mlelwa amesema “Jamii hasa wazazi wanatakiwa kubeba mzigo huo kwa kuwa...
  7. BARD AI

    Geita: Mahakama yawaachia huru waliodaiwa kumtoa kafara mtoto ili wachimbe Dhahabu

    Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo. Washtakiwa hao ni Ngeke Lunemhya, Mwajuma Petro, Ngeke Lunemhya na Maria Faida ambao wote ni ndugu. Watuhumiwa hao...
  8. BARD AI

    Geita: Afungwa miaka 120 na viboko 48 kwa unyang'anyi wa kutumia Silaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka jela miaka 120 na kuchapwa viboko 48 kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa makosa manne ya unyang'anyi wa kutumia silaha. Hata hivyo, ingawa kila mshatakiwa amehukumiwa miaka 30 jela na viboko 12 kwa kila kosa, kwa makosa...
  9. LIKUD

    Huu hapa uhalali wa goli la Yanga dhidi ya Geita

    Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa. Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch. Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji. Makosa yanaweza kufanywa na kocha (kwa kupanga kikosi vibaya au kufanya sub isiyo merit) Makosa yanaweza...
  10. M

    Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

    Mabanda umiza yatajaa sana. Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?
  11. GENTAMYCINE

    Hivi kuna goigoi wa akili anawaza kabisa kuwa leo Yanga SC itafungwa na Geita Gold FC kule CCM Kirumba?

    Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC. Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye akatudindia na gap likaendelea kuwa la alama (points) tano (5). Na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa...
  12. Expensive life

    Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (betting) hembu njoeni tuzijadili hizi point alizopewa Yanga sc dhidi ya Geita Gold leo hii.

    Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂
  13. ommytk

    Geita vs Singida: Ni mji upi mzuri kifursa, kimaendeleo na ukuaji kuliko mwingine?

    Karibuni kwenye mada hii mdau Nipo hapa nawaza kwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa geita na singida Je, ni mji gani mzuri kati ya hii miwili ni mkubwa kifursa kuliko mwingine kimaendeleo na ukuaji?na mzunguko wa hela kwa wananchi.
  14. Roving Journalist

    Kituo cha kupoza Umeme cha Mpomvu kuipa Geita umeme wa Megawati 90

    Uwepo wa kituo cha kupokea, kupoza na kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220/33 kutoka Bulyanuhlu hadi Mpomvu Geita sasa utaifanya Geita kupata umeme wa Megawati 90 wakati mahitaji yao kwa sasa ni Megawati 18. Kukamilika kwa kituo hiki kunaifanya Geita pia kuanza kupata umeme wa kutosha kwa...
  15. GENTAMYCINE

    Je, tulikuwa tunangojea twende Kwake Geita ili tuonyeshe Mapenzi yetu ya Kinafiki kwa Wamachinga aliokuwa akiwapenda na kuwajali?

    Na ni Matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa hata pale tulipoenda Kuzuru Kaburi lake tulimuomba Msamaha kwa Kuharibu karibia 75% ya Mambo ya Msingi ( hasa ya Kimiradi ) aliyokuwa anaitekeleza huku hadi sasa 90% imesimama baada ya kuruhusu Kukumbatiwa na Mafisadi na Mafia wa 2005 hadi 2015...
  16. peno hasegawa

    Rais Samia amemaliza ziara ya Mkoa wa Geita bila kuruhusu wananchi kuuliza maswali?

    Nimeona maajabu Mkoa wa Geita. Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini? Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
  17. peno hasegawa

    Geita kuwa kitovu cha uchumi Afrika Mashariki

    Geita. Serikali imelenga kuufanya mkoa wa Geita kuwa kitovu cha uchumi ndani ya Taifa na ukanda wa Afrika Mashariki na kuwataka wananchi kutumia fursa hiyo hasa kwenye uwekezaji wa mwambao wa Ziwa Victoria ili kufanya mkoa huo kuwa lango la biashara. Akizungumza na wananchi wa mkoa huo kwenye...
  18. M

    GEITA: Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama Rais Samia akutana na Wajumbe wa kamati ya Siasa Mkoa, Dr Msukuma atia neno

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Geita. #CCMImara #KaziIendelee
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  20. N

    Wananchi Geita wajitokeza kumpokea Rais Samia kwa wingi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa wingi hii inathibitisha kua watu wananchi wanakubali kazi kubwa ya Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
Back
Top Bottom