Naomba kujuzwa sehemu ambayo nitaweza repair bodi za Landrover kwa Dar es salaam

lugendosisty

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
219
102
Habari. Jaman mwenye kujua gereji au fundi Mtaalam anae repair bodi za landrover kwa Dar es salaam anisaidie Namba yake.

CC. MshanaJr
 
Kazi ya kurepair body ili ufurahi na iwe ya kuvutia waone Capital Zone 4×4. Huko kwingine utajutia pesa yako gari itapigwa rangi kama geti.
images.jpeg
89847381_2548584988715984_198946046246649856_o.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom