Habari zenu waheshimiwa!
Nakodisha gari (Toyota Noah - 2005 Model) naikodisha siku yoyote utakayoihitaji, labda tu iwe imekodiwa na mtu mwingine. Naikodisha kwa ghrama tofauti kulingana na siku, ni ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam tu;
Jumatatu - Alhamisi: Tsh 130,000/= kwa siku
Ijumaa -...