Natafuta gari ya kununua, iwe na engine ndogo

Jul 26, 2022
35
12
Habari za kazi wadau,

Naomba kama utakuwa unauza au unarafiki anauza gari nzuri iwe engine ndogo na neat condition. Gari inayohitajika iwe kati ya Premio new model, Allion, Vits New model, spacio new model, Raum au Ractis. Budget ni 7.5M hadi 8M

Nitumie picha na location.

Asanteni sana na Mungu awabariki.
 
Hizo new model zote huwezi kupata kwa hiyo bei labda ziwe za wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom