gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga. Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi? Yanauzwa sokoni kama mboga ? Unaweza kuyapikia mlenda yakiwa mabichi(hayajakauka) kama mboga nyingine za majani?
  2. D

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi TANESCO mna shida gani yani siku hizi umeme unakatika na kuwaka kwa siku hata mara 10

    Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika wanawasha. Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni experience gani? umepitia kwenye nyumba za wapangaji wengi unakumbuka nini?

    👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama 👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni 👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima 👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo 👉Kuazima Pasi kwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Tundu Lissu ni mtu wa aina gani?

    Huyu mtu bwana hana shukrani, Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau walikua wanaitana. Mara ghafla Magufuli alivyokua Rais Lissu akaanza uchokozi wa kumtukana Magufuli...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

    Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume. Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Uduvi ndio kitu gani huko nyie watu wa Dar es Salaam?

    Watu wa Daslamu mna mambo mengi sana. Huu uduvi anaoubeza MKuu wa Mkoa ni kitu gani? Kuna mwanaJF humu anauza uduvi?
  7. JamiiForums Tanzania Matukio gani yaliyogusa hisia za watu 2024 ambayo hutayasahau?

    Leo ni 31, Desemba ni siku ya mwisho ya Mwaka 2024, Kwa kudra za Mungu baada ya masaa kadhaa tutakuwa tumeingia mwaka 2025, Naomba Mungu atie rehema zake tufike wote salama. Mwaka 2024 ulikuwa na matukio mengi sana sana, yapo yaliyoibua na kuvuta hisia na usikivu wa watu huku yakiacha maswali...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Ni mkoa upi unajitahidi kwenye upatikanaji wa huduma za maji.
  9. JamiiForums Tanzania Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

    Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
  10. JamiiForums Tanzania Ni mashine gani au Mtambo gani, uliwahi fikiria kama ukitengenezwa, utatatua changamoto za kilimo au Ufugaji hapo ulipo

    Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali. Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua changamoto hiyo. Au kifaa hicho kipo ila ni gharama sana hasa kuagiza nje ya nchi. Wazo lako ni...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kati ya hivi vinaongoza kwa kuleta msongo wa mawazo (Depression)?

    Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k. Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k. Kesi mahakamani Marejesho ya Mkopo Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.) kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
  12. JamiiForums Tanzania BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
  13. JamiiForums Tanzania Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

    Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu? Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?

    Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Make up na mask (kifuniko cha uso) kuna tofauti gani?

    Salaam, Shalom!! 1. Mchawi anapokujia usiku, akijua wewe u Roho, utamwona,hupaka unga usoni kisha hunuiza maneno Fulani Fulani Ili asionekane, na nuizo Hilo huambatana na kufunika sura yake Kwa kifuniko Cha mnyama kama mbwa au paka, nyoka, ngombe nk nk. Ndio maana utaota ukikimbizwa na nyoka...
  16. JamiiForums Tanzania Huu mchoro unamuhusu mchezaji gani? Wakongwe karibuni

  17. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

    Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    Msaada wa haraka tafadhali! Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k. Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje? 1...
  19. JamiiForums Tanzania Hiki kiarabu kina maana gani?

    Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa nimepewa jini kijanja, maana napata hela, sijui zinapo ishia
  20. JamiiForums Tanzania Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

    Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri. Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…