Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha.
Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa.
Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
Barangumu limelia..
Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa"
Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto
Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza.
Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa...
Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza.
Top 5 zangu
Million years ago - Adele
Sikati Tamaa - Darasa
Moyo Wangu - patrick kubuya
Voilà - Barbara Pravi
Dear Mama - 2pac
https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared...
CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee.
Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini?
Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya...
Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani.
Neno laana liko kwa namna mbili, kibiblia.
Aina ya kwanza, ni kupoteza sifa ya kukubaliwa na Mungu kwa jambo lolote lile. Na hii chanzo chake ni lile anguko la mwanadamu tangu mwanzo.
Aina ya pili, ni apizo alitoalo mwanadamu kwa mwenzake, au alitoalo Mungu...
Wakuu
Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?
Serikali imezisisitiza Wizara zote na taasisi zake kuendelea kutenga fedha kwenye mafungu yao kwa ajili ya kutoa elimu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.