Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

mkokamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2024
Posts
1,313
Reaction score
1,669
Salam wadau,

Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!

Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi!!

Utata upo hapa, kwa kawaida sina mazoea ya kuota ndoto lkn nashangaa kuna ndoto inajirudia, leo ni mara ya tatu naota kuna ndege anajenga kiota kwenye mti uliokauka ambao ushaanza kuoza imenifikirisha sana je hii ina maana gani? Na kwa kawaida ndege huwa hawaweki viota kwenye miti iliyokauka?!

Je ina maana naweka mipango ya ndoa kwa mtu asiye sahihi??

Mwenye uelewa anisaidie tafadhari!
 
Umewakosea hao wazazi,unakaaje na binti wa watu kinyume na taratibu?

Kama ndege kujenga kiota kwenye mti mkavu ni kinyume na utaratibu wa ndege na ndoto imekushangaza, je kukaa na binti wa watu bila kufuata taratibu kwako huoni ni kinyume na utaratibu?

Ikitokea amefariki ndio utajua wazazi wake hawakufurahia ulichofanya.
 
Mwambie arudi kwao kwanza wakati unajipanga maana mambo yako hayako sawa.

Mara nyingi mtu anapotaka kuoa Mungu Huwa anahusika sana hasa mtu anapokuwa siyo sahihi upande mmoja.

Nili experience Hilo kwa wadada wengi ambao akilini mwangu nilitamani wawe wake.

Jipe muda wa kusali na kutafakali, Kama mtu si sahihi kabla ya huo mda mliopanga utajua mengi, lakini Kama ni imagination zako basi mambo yatakuwa kimya.
 
salam wadau,
Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!

Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi!!

Utata upo hapa, kwa kawaida sina mazoea ya kuota ndoto lkn nashangaa kuna ndoto inajirudia

leo ni mara ya tatu naota kuna ndege anajenga kiota kwenye mti uliokauka ambao ushaanza kuoza imenifikirisha sana je hii ina maana gani? Na kwa kawaida ndege huwa hawaweki viota kwenye miti iliyokauka?!

Je ina maana naweka mipango ya ndoa kwa mtu asiye sahihi??

Mwenye uelewa anisaidie tafadhari!!👿

NAWASILISHA!!
umekosa adabu kwa hao wazazi wa binti, unafikiri wamefurahi?
 
Mwambie arudi kwao kwanza wakati unajipanga maana mambo yako hayako sawa.

Mara nyingi mtu anapotaka kuoa Mungu Huwa anahusika sana hasa mtu anapokuwa siyo sahihi upande mmoja.

Nili experience Hilo kwa wadada wengi ambao akilini mwangu nilitamani wawe wake.

Jipe muda wa kusali na kutafakali, Kama mtu si sahihi kabla ya huo mda mliopanga utajua mengi, lakini Kama ni imagination zako basi mambo yatakuwa kimya.
Asali wapi wakat anazini, amuoe haraka, kumrudisha alipe na fidia
 
Mungu siyo Juma Athumani kwamba anaweza kusitisha kuongea na wewe kwasababu unatenda dhambi, katika Hali zote Mungu ataendelea kukuvuta kwa kamba ya upendo Hadi pale atakapojiridhisha amekusanua vya kutosha lakini ukakaza misuli ya kichwa. Akimrudisha na kubadiri njia anaweza kumsaidia. Kinachotakiwa awe mnyenyekevu na Toba ya kweli.
 
salam wadau,
Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!

Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi!!

Utata upo hapa, kwa kawaida sina mazoea ya kuota ndoto lkn nashangaa kuna ndoto inajirudia

leo ni mara ya tatu naota kuna ndege anajenga kiota kwenye mti uliokauka ambao ushaanza kuoza imenifikirisha sana je hii ina maana gani? Na kwa kawaida ndege huwa hawaweki viota kwenye miti iliyokauka?!

Je ina maana naweka mipango ya ndoa kwa mtu asiye sahihi??

Mwenye uelewa anisaidie tafadhari!!👿

NAWASILISHA!!
Kwanza ni kosa kuishi na mtoto wa watu bila ndoa,na ukijichanganya siku ya kwenda kutoa mahari ndio utajuwa hujuwi maana wata kukomoa kwa kuwa umeanza kuishi na binti yao bila kufuata taratibu ni kosa kuishi na mwanamke ki nyumba bila kufuata taratibu,kumbuka huyo ni binadamu lolote linaweza tokea na msala ukaangushiwa wewe nakushauri mwambie arudi kwao au akapange hadi pale taratibu zitakapo kuwa tayari.
Mwisho kabisa fanya toba na muombe mungu akufungulie milango ya kupata mke bora na familia bora.
Nakushauri usichanganye Hisia na swala la ndoa siyo kila mwanamke anafaa kuwa mke wako wengine ni wake za watu wengine unakuta mna vibe kwenye mahusiano ila mkiingia kwenye ndoa moto unawaka,cha msingi mshirikishe Mungu wa imani yako atakuonyesha njia humu ndani utapuyanga tu.
 
Umewakosea hao wazazi,unakaaje na binti wa watu kinyume na taratibu?

Kama ndege kujenga kiota kwenye mti mkavu ni kinyume na utaratibu wa ndege ns ndoto imekushangaza, je kukaa na binti wa watu bila kufuata taratibu kwako huoni ni kinyume na utaratibu?

Ikitokea amefariki ndio utajua wazazi wake hawakufurahia ulichofanya.
Akifa unalipa mahal tu
 
Alikwambia ukitoa mahari anakuwa mke rasmi ni nan?
Pili ndoto yako iko uchi sana,
Fuatilia historia ya ukoo wa kwake waweza pata kitu, hasa ukikuta kuna asili ya waganga kimbia,
Asante.
 
Ndugu yangu ishu ya mahari mpaka mwezi wa 10 , tatizo ni kwamba hauna pesa au unamchunguza akiwa kwako?

Umewakosea hao wazazi,unakaaje na binti wa watu kinyume na taratibu?

Kama ndege kujenga kiota kwenye mti mkavu ni kinyume na utaratibu wa ndege ns ndoto imekushangaza, je kukaa na binti wa watu bila kufuata taratibu kwako huoni ni kinyume na utaratibu?

Ikitokea amefariki ndio utajua wazazi wake hawakufurahia ulichofanya.
Asante kwa ushauri sikuzingatia kama inaweza kuwa na madhara hivyo!!👿
 
Mti mbichi maana yake ni ustawi,uhai maisha,kufanikiwa.
Kiota maana yake:,familia ,uzazi,makazi"
Ndege maana yake inawakilisha binadamu.
Kuoza maana yake ni ugonjwa,uharibifu,
Kukauka kwa mti ndio kifo chake mkuu.kwa maana mti ukikauka ndio umekufa hauna uhai tena.hapa naweza kupata tafsiri kuwa mbili moja ni kuwa huyo kaja kwako kwenye mti kujificha kivulini lakini kwa bahati mbaya ni kuwa Kuna changamoto itakayopelekea mafanikio yako kufa na kimsingi hyo changamoto ilishakuwepo (siyo jambo jipya).tafsiri ya pili ni kuwa wewe unachangamoto ya ugonjwa iliyopo na itakayopelekea wewe mwenyewe kufa.kwa kuwa ndoto hii imetokea mara tatu jambo Hilo litatokea kwenye utimilifu wake haraka.kwa hyo Kuna mambo mawili yanayoweza kukupata,mafanikio na uchumi wako kufa kabisa ama wewe mwenyewe kufa.take care.
 
Mwambie arudi kwao kwanza wakati unajipanga maana mambo yako hayako sawa.

Mara nyingi mtu anapotaka kuoa Mungu Huwa anahusika sana hasa mtu anapokuwa siyo sahihi upande mmoja.

Nili experience Hilo kwa wadada wengi ambao akilini mwangu nilitamani wawe wake.

Jipe muda wa kusali na kutafakali, Kama mtu si sahihi kabla ya huo mda mliopanga utajua mengi, lakini Kama ni imagination zako basi mambo yatakuwa kimya.
Kumbe inawezekana nilikurupuka sio??👿
 
Kwanza ni kosa kuishi na mtoto wa watu bila ndoa,na ukijichanganya siku ya kwenda kutoa mahari ndio utajuwa hujuwi maana wata kukomoa kwa kuwa umeanza kuishi na binti yao bila kufuata taratibu ni kosa kuishi na mwanamke ki nyumba bila kufuata taratibu,kumbuka huyo ni binadamu lolote linaweza tokea na msala ukaangushiwa wewe nakushauri mwambie arudi kwao au akapange hadi pale taratibu zitakapo kuwa tayari.
Mwisho kabisa fanya toba na muombe mungu akufungulie milango ya kupata mke bora na familia bora.
Nakushauri usichanganye Hisia na swala la ndoa siyo kila mwanamke anafaa kuwa mke wako wengine ni wake za watu wengine unakuta mna vibe kwenye mahusiano ila mkiingia kwenye ndoa moto unawaka,cha msingi mshirikishe Mungu wa imani yako atakuonyesha njia humu ndani utapuyanga tu.
Nilimwambia ntampangia geto yy akakataa akasisitiza hizo gharama za kodi ni utapanyaji wa pesa
 
Back
Top Bottom