gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  2. Wimbo wa Q Chief, Wiper Ulifanywa na producer Gani?

    Nilikuwa na sikiliza kazi moja ya miaka hiyo kutoka kwa q chief, Wiper nataka kujua Beat Ilifanywa na nani! TZ Vipaji ni vingi sana!! Daah!!
  3. Wanaharakati wa UG na Kenya walifanya vurugu gani?

    Kwa ufupi sana Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya. Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia...
  4. Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

    Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
  5. PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  6. Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

    Wakuu Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana. Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila...
  7. C

    Huu utakuwa wimbo gani?

    Huu unahisi ni wimbo gani?
  8. Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

    Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai. Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia. Nawezaje kujua simu fake na Original?. Nina 550k
  9. Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  10. Kesho nitatoa mfano wa jinsi gani ambavyo ingepaswa Gwajima ajibiwe

    Nimeona watu wakijibu hoja za Gwajima kwa mihemuko bila kuja na hoja kinzani ukilinganisha na Gwaji boy. Nahitaji maandalizi na sio kukurupuka, jamaa amepiga kwenye mshono, tukubali tusikubali.
  11. Hivi mradi wa Babu wa Loliondo ulikuwa chini ya kiongozi gani ?

    Naomba kujua nani alibuni huu mradi ambao ulipelekea vifo vya Watanzania wenzetu . Nafikiria kwenda mahakamani kuishitaki serikali ya awamu ya nne hasa wizara ya Afya kuanzia Waziri , naibu waziri na katibu wake. Hauwezi kumtoa Mgonjwa muhimbili ambako kuna wataalamu wabobezi wa Afya na kuwa...
  12. K

    Kwenye oral interview, ni viashiria gani vinaweza kukufanya ukajua kuwa hiyo kazi umeipata?

    Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
  13. Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
  14. Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
  15. TV Gani ni nzuri asa hizi kampuni za kichina

    Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china. Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china? Ushauri tafadhari
  16. Unakumbuka chata gani ukiwa sekondari!? Nakumbuka hizi!

    Nikiwa 'O' Level nazikumbuka chata hizi: 1. Remember Kidiru 2. Akajesus 3. Chid 'B' Chid Boy 4. Mwakubombaki 'wagambo wanaruka' 5. Simple 'F' 6. Watengwa 7. Remember Maguhu Jr. 8. Mseminari 9. Mzee wa zamu 10. T. T. Okocha 11. Second Master Kivuli 12. Jay 'S' wa Bongo 13. Lafayetta Clan 14...
  17. O

    WATAALAMU NAOMBA KUJUA AI GANI NZURI KWA KUTENGENEZA VIDEO?

    HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
  18. T

    Njiwa kukaa juu ya bati usiku kuna maana gani

    Habari zenu wanajukwaa, leo usiku hapa nyumbani kuna njiwa ametua juu ya bati na amekaa kwa muda mrefu almost masaa mawili sasa ningependa kujua hii ina maana gani, Natanguliza shukrani🙏🏽
  19. Hivi ukimuomba namba akawa anajishauri kukupa ina maana gani?

    Ee, nimempatia simu aandike namba yake, akaishia kushtuka shtuka tu, mara ang'ate vidole, mara aangalie chini kushoto. Nikamwambia acha kanjanja, chora namba kwa simu hapo. Mara ooh, mi siwezi, mara ooh huna nia nzuri na mimi, mara oh ya kazi gani Nikamwambia kama hutaki nipatie simu yangu...
  20. Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…