Wana JF habari
Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
Nilichojifunza 2025
Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu!
2026 Resolutions
Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili katika kutafuta, fursa zipo tusikalie kulalamika tu, Adui wa mafanikio yako ni wewe!
Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani...
Hamjambo!
Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu.
Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake.
Asilimia tisini na tisa Wanawake ambao ni Wife material wana uhusiano bora na Baba zao.
Wanapendwa...
Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua.
Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali...
Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe??
Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
Wakuu,hamjambo?
Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.