Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

Unataka Samsung ya shilingi ngapi? Maana Samsung zipo za laki 2 hadi milioni 5. Wewe unataka ya bei ipi?
Pia unataka mpya au used?
Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.

Leta ushuhuda wako pia kwa Samsung hako unayotumia.
  • Bajeti yako ndio itapendekeza ni toleo lipi litakufaa.
  • Edit post yako ya kwanza, weka range ya bajeti yako.
 
Nina 550k.Nataka mpya
Tafuta Samsung Galaxy A35 kwa Hali na mali. Hapo Kariakoo kuna duka nilienda November mwaka Jana, walikuwa wanauza A35 kwa 650K na A34 kwa 550K
Kama hii June ukienda kutafuta maduka authorized kutafuta kwa nguvu unaweza kupata A35 ya 6GB RAM 128GB ROM. Ina sehemu ya memory card pia. Ukiongeza hela unapata ya 8GB RAM na 256GB
Ni simu nzuri all-rounder
  • Kamera Kali
  • Android 14, One UI 6.1 (4years of major OS updates, 5 years of security patches)
  • Processor nzuri inayoendana na bei
  • Under display fingerprint scanner
  • Kioo kizuri cheusi Super AMOLED with above 1000nits brightness
  • Stereo speakers
  • SD card slot
  • Nice design
  • Inatunza Sana chaji
Everything you need, A35 ipo vizuri
 
Asante sana.Hii full box?Inatoka Nchi gani?
 
Huku mtaani kuna imani kuwa Samsung A series ni infinix au tecno. Tofauti ni brand.
 
Back
Top Bottom