gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukimsalimia mtu na asijibu, maneno gani huwa unesemea kimya kimya

    That moment, unakutana na mtu au wapishana naye kwa njia na utoe salamu. Then salamu yako isipate majibu hivi ni maneno gani huwa yanakutoka kimoyo moyo juu ya kitendo hicho. Mimi kwa mtu ninayemfahamu mara nyingi huwa "HUYU mama siji kumsalimia tena huyu mpuuzi"
  2. JamiiForums Tanzania Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

  3. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kati ya vyama hivi viwili kuhusu dira ya kweli ya maendeleo?

  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Mwafaka sasa wa kufanya amendment kwenye sifa ya elimu kwa mgombea ubunge, badala ya kujua kusoma na kuandika, twende mbali zaidi

    Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili. Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
  6. JamiiForums Tanzania Ni android applications gani za kitanzania zilizokuwa intalled kwa wingi zaidi?

    Katika pitapita nimeona JF, millardy ayo na Muungwana zikiwa zimepita 1m. Zingine ni zipi?
  7. JamiiForums Tanzania Ni pikipiki gani nzuri kwa bodaboda?

    Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
  8. JamiiForums Tanzania Tukio gani muhimu katika historia ya Tanganyika lilitokea siku kama ya leo, Aprili 17, 1953?

    Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam. Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

    Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?) Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana...
  10. JamiiForums Tanzania Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi? Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

    Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono. Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wadau, hili ni tatizo gani?

    Yaani kifua kinaniuma, kilianza kama miti miwili inanichoma kwa muda fulani halafu inaacha! Hospitali wamekuwa wakidai nipige x-ray za kifua nazo zinaonyesha hakuna tatizo! 😥😥😥
  13. JamiiForums Tanzania Ni kitendo gani au tukio gani usilolisahau lililobadilisha maisha yako?

    Kila mtu kwenye maisha nina amini ana turning point yake. Turning point ni sehemu au pointi ambayo ilibadilisha maisha yako. Inaweza ikawa ni tukio, safari, kukutana na mtu au jambo lolote ambalo kwa namna moja ama nyingine limekufanya uwe hapo leo either kukupandisha au kukushusha kimaisha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kitu Gani?

    Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi? Je, ukweli ni hiki tunachokiona au tunachokisikia? Je, ukweli ni kile tunachokihisi au tunachokigusa au kinusa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi? Je, ukweli ni mafundisho au ni elimu? Au je, ukweli ni taarifa au ni habari? Ukweli ni kitu gani? Ukweli...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Wadau huu ni ugonjwa gani wa Kuku na unatibiwaje?

    Wadau vifaranga wangu wanaumwa midomo na macho! Inaanza kwa kutokea manundu manundu hadi yanaziba macho kama muonavyo! Naomba kujuzwa huo ni ugonjwa gani? Dawa za kuutibu ni zipi!
  16. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani unazipenda ukiwa na bia mkononi/mezani baa?

    Yaani kabla hujaanza hata kuyumba yumba. Nyimbo gani zinakupa burudani ya aina yake moyoni ukiwa baa/club? Kiasi kwamba unaweza kutumia mpaka hela ya nauli au bajeti ya kesho ikavunjwa bila kujielewa.
  17. JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel tuambie Chelsea gani wapinzani watakayoigopa kucheza nayo?

    Chelsea hii ya kuwaanzisha Reece James na Azipilicueta waanze pamoja (no creativity)? Chelsea hii ya kutuaminisha kuwa Timo Werner ni mchezaji mzuri wakati ligi inaonekana imemshinda? Chelsea hii ya wachezaji wanafanya makosa yaleyale? Unaacha wachezaji ambao wanaweza wakaleta ubunifu wa Hali...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mtu wa namna gani hasa?

    Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani? Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye. Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
  20. JamiiForums Tanzania Ni umri gani ukishatimiza katika maisha bila kufanya jambo lolote utaishiwa kuchekwa?

    Dunia inaenda kwa kasi mnoo na umri pia unaenda kwa kasi mnoo hivyo kuna jambo ningependa tushare pamoja Hivi ni umri gani ukishatimiza bila kufanya jambo lolote la kimaendeleo utaishiwa kuchekwa na walimwengu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…