gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  2. JamiiForums Tanzania Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

    1)Mwenye msabwanda alafu awe medium kiwango 2)mwenye mwili ndogo ana mbsabwanda la kichizii na awe medium 3)mfupi mnono Wakuu wapi ndo sure bet
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya Polepole na bwana Biden?

    Jaribu kukaa utulie uangalie picha za bwana Polepole na za rais wa America bwana Joe Biden halafu utaamini maneno yangu kuwa hawa binadamu wenzetu wamefanana sana Pia angalia namna wanavyoongea na namana wanavyotazama lazima tu utakubaliana na maneno yangu Kingine angalia hata makalio yao ni...
  4. JamiiForums Tanzania Soko la pamoja la Afrika ni nini?

    Jamani tufafanulieni Soko la pamoja la Africa ni kitu gani
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu, hivi mtu anaweza okoa pesa kiasi gani akiezeka kwa msouth badala ya kigae?

    Tofauti ya bajeti kwa anayeezeka kwa msouth na anayeezeka kwa vigae ni pesa ngapi?
  6. JamiiForums Tanzania Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (Ukoloni Mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForum , Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kuelewa vibonzo, hiki kibonzo kina ujumbe gani?

  8. JamiiForums Tanzania Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia. Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia? Je mimi nitakua nakosea...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania pale penye neno MKIKUYU tungeweka neno gani?

  10. JamiiForums Tanzania Hivi kile kitendo cha Daktari kumfumua Mgonjwa nyuzi kina tofauti gani na pale Madaktari wanapoamua kugoma?

    Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta. Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili. Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
  11. JamiiForums Tanzania Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza chukua dhidi ya uonevu wa kampuni ya EROLINK ?

    Habari wana Jamii Forums, samahanini kwa wale wenye ujuzi wa kisheria, naomba msaada juu ya ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua kwa kampuni inayoitwa EROLINK. Kampuni imekua inaleta usumbufu sana kwa wafanyakazi wake, hasa pale mikataba yao ya kazi inapoisha, na uwa haiwasilishi...
  13. JamiiForums Tanzania ALAF Tanzania, mnatumia kigezo gani kupandisha bei za bati zenu

    Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa mahesabu yangu ya paa langu Ikapita wiki 2 nikaenda pale kiwandani kwao nikiwa na nia ya kununua mzigo...
  14. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi Serikali inavyoweza kuboresha huduma za Afya kwa Jamii

    Utangulizi Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Injini gani ya pikipiki mchina inaweza kaa kwenye pikipiki aina ya TVS

    Pole na kazi wakuu!! Msaada katika Hilo tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Mimi ni mtu wa aina gani

    Habari wakuu sana. Mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu. Aisee moja kwa moja kwny hoja mi nna sifa zifuatazo. nikiona mtu ana shida naumia sn mpk machozi hunilenga, mfano mtoto anapigwa au mtu yeyote Yule au nikiona mtu analia kwa uchungu. napenda kukaa kimya nikiwa peke yangu kuliko nikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
  19. JamiiForums Tanzania Mkuyu ni Mti gani?

    Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU. Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…