gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Mungu huwa anaongea na Wanadamu? Je, kwanini haongei na kila mtu?

    Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu. Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu? Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
  2. JamiiForums Tanzania Kama Biblia ingeendelea kuandikwa; je, wewe na mimi tungeandikwa kwa sifa gani ndani ya Kanisa?

    KAMA BIBLIA INGEENDELEA KUANDIKWA, JE WEWE NA MIMI TUNGEANDIKWA KWA SIFA GANI NDANI YA KANISA? Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Hallelluya watoto wa Mungu, tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wema na ukuu wake katika maisha yetu. Pamoja na uovu wote tunaomtenda lakini amezidi kutupa nafasi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Window gani nzuri kwa ajili ya fundi simu upande wa software?

    Wakuu naomba kujuzwa kati ya window 7 na 10 ipi ni nzuri kwa ufundi simu upande wa software ninazo box na sio crack
  4. JamiiForums Tanzania Ni wateja Gani ulikutana nao wakakupa changamoto? Wa kwangu huyu hapa

    Hello wadau!! Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa. Straight to the topic Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa...
  5. JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wengine hujiuliza ndege hutumia mafuta gani?

    Aviation Fuel ni mafuta yanayotumiwa kuendeshea injini za ndege. Kimsingi zipo kama aina nne za mafuta zinazotumika katika usafiri wa anga. Jet A-1, ambayo kimsingi ni kundi la mafuta ya taa. Jet B, ni mchanganyiko wa mafuta ya taa na petroli. Avgas, ambayo ni kama petrol ya ndege. Biokerosene...
  7. JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  8. JamiiForums Tanzania Vitu gani 'vidogo lakini vikubwa sana' unavyovijua lakini watu wengi hawavijui? Share kwa kifupi sana....!

    Kila mtu ana vitu vyake fulani hivi anavyovijua lakini watu wengi hawavijui. Inaweza kuonekana kama vidogo lakini ni vikubwa mno kwa tafakuri ya kina. Au pengine watu wanajua lakini hawaipi kipaumbele stahiki. Hebu share nasi kwa kifupi sana! Naanza mimi: - Serikali halisi ni familia. Hizi...
  9. JamiiForums Tanzania Je, mlitumia hoja gani kumpeleka mtu mwenye elimu ndogo Bungeni?

    Unapozungumzia Mbunge anabidi kuwa na sifa tofauti na hizi zilizopo za kujua kusoma na kuandika tu. Ubunge ni Kazi ya muhimu sana haiwezekani mtu mwenye Elimu ya kuunga unga apewe ubunge? Vigezo viwe: ~ Mtu msomi aliye na Degree Safi kutoka katika chuo kizuri na sio lasaba au form four au...
  10. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

    Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo; Clouds wana #mchongo pesa Wasafi wana #chota mahela East africa wana #peseka Radio free wana #bustika minoti...
  11. JamiiForums Tanzania TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

    Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4). Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina. Tayari...
  12. JamiiForums Tanzania Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  13. JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

    Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba. Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia. Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki. Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
  14. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulifanyiwa na mtu, kikundi cha watu au taasisi mpaka ukajiuliza hawa watu wananichukuliaje?

    Salaam wana JF, Dunia uwanja wa fujo na kila mtu anafujo zake, lakini kuna baadhi ya watu wanazidisha fujo na kuanza kuona wao ndiyo wanapaswa kuishi peke yao duniani. Hawa huwa wanajiribu kufikiri kuwa binadamu wengine walikuja duniani kwa bahati mbaya. Mtu au kundi kama hili hudiliki...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa huduma ya CRDB cardless endapo hujatoa pesa atm, transaction itaexpire kwa mda gani pesa irudi kwenye account?

    Habari ndugu zangu, niliokosea kutoa pesa kwa njia ya crdb cardless kwa kutaka kutoa 137000, kumbe ni lazma uweke katika figures za 10000, je ili pesa irudi itatumia muda gani kufika.
  16. JamiiForums Tanzania Ni kituko gani cha bhangi uliwahi kufanya, hutokisahau?

    Ama kweli, Kwenye Maisha Hakuna Hali ya kudumu. "No condition is permanent". Kipindi naanza kuwa kijana nilipitia kuvuta bhangi, almost 34 years ago. Basi siku hiyo nilivuta bhangi magethoni kwa masela. Wakati narudi home nikahisi njaa Kali ndiyo nikanunua mandazi ya buku hivi nikanywee chai...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani inapata faida gani kugombanisha majirani?

    Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao. Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na...
  19. JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo bas wenye mlishawahi kuwa na changamoto kama hii na mkapata matibabu, naomba mshare namna...
  20. JamiiForums Tanzania Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

    Habarini wakuu, Jana night katika safari zangu za hapa na pale kwenye daladala nipo zangu na deep feeling za kusikiliza music kwa earphones siti ya dirishani macho yakiwa nje kutazama tunavyoikata miti na mito mbalimbali, it was perfect kwangu maana me hupenda kusafiri sana, Huwa safari za usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…