gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Duka gani Dar naweza pata foldable table and chair kama hivi?

    Nahitaji sana foldable chair and table kama hivyo hapo kwenye picha viwe vya watu 4 na zaid. Nimetafuta kwenyw maduka ya furniture bila mafanikio
  2. JamiiForums Tanzania Tuliharibikiwa tuliporuhusu ufisadi wa bilioni 10 Chadema. Sasa tunahangaika namna gani kuchangisha watu

    Tulipaswa kukomaa ili waliokula bil kumi zetu wazitapike. Mbowe na genge lake walipaswa kuzitema. Leo hii tunahangaika kupata mapato. Join ze chain imefeli na sasa tuje na mkakati gani kuchangishana pesa?
  3. JamiiForums Tanzania ๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ? ๐—จ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐—ฟ๐—ถ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ?

    Habarini Naomba tushee mauzoefu apa kwenye huu uzi. Naamini katika hatua za mwanzo katika umri fulani kila mdau alianza kutafuta pesa. Wengine wameanza mapema sana, wengine wamesoma wakachelewa kuanza kutafuta pesa, wengine watoto wa mashavuni wanakula maisha tuu...nk. Nikiwa mdg miaka 13...
  4. JamiiForums Tanzania Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

    Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
  5. JamiiForums Tanzania Wadau Tuliosoma Internationa School of Tanganyika,Tukio gani huwezi kuja lisahau Maishani?

    Mi nakumbuka siku ile tumeenda canteen kwenye buffet sausage zikawa zimeisha. Wamebaki wanafunzi wawili hawajapata sausage na yule msimamizi wa chakula Mr. Shivj Hindurana anawashawishi wachukue cake. Wakagoma na kuanza kulia kuwa wamenyanyaswa. Wadau Tuliosoma Internationa School of Tanganyika...
  6. JamiiForums Tanzania Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

    Habarini wanajamvi, natumai ni wazima wa afya. Kama mada inavyosema. Kwa upande wako unamuogopa au hupendi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke au mwanaume gani? Kwa upande wangu mwanamke muongo muongo dah, ananikata stimu kabsa yaani. Niliwahi kutoka na mwanamke miaka mitatu kumbe...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ni mawe gani?

    Wataalamu wa hizi kazi naomba msaada?
  8. JamiiForums Tanzania Hii meseji ina maana gani wadau wa JF?

    Nimetumiwa hii message ya trophy point cjui award sasa nauliza kwa wataalam humu ni nn na ina maana gani kwa mtumijaji wa jf?
  9. JamiiForums Tanzania Huyu ni Afisa gani serikalini?

    Naomba kujua wadau hii ni plate number ya afisa gani? au ni private number?
  10. JamiiForums Tanzania Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

    Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi? Nipo na girlfriend wangu.
  11. JamiiForums Tanzania Hii ni RAM ya aina gani, DDR2 au DDR3?

    Msaada wa utambuzi wa hii RAM?
  12. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti Hii Naweza pata gari gani mtumba show room

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo . Au nicheki kwa 0713 039 875
  13. JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kwa dereva wa basi la abiria kustaafu?

  14. JamiiForums Tanzania Colour printer gani inafaa kwa matumizi ya stationery?

    Wadau habari. Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ulitumia muda gani kupata mtaji wa milioni 3 kwa kutumia mshahara wako?

    Naam tuachane na ile mambo ya kukopa. Tuchukulie ile akiba kidogo inayoweka kutokana na mshahara wako tu unaolipwa kama umeajiriwa. Uliweza kutumia miezi, miaka ama decade ngapi kupata mtaji wa Tshs. Milioni 3? Mjadala huu utasaidia waajiriwa wengi kujijua wapo kwenye hali gani kulingana na...
  17. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani wa zamani ambaye hukuwahi kumshuhudia akicheza lakini unaambiwa balaa lake lilikuwa kubwa๐Ÿ”ฅ

    Mimi binafsi sijawahi kumuona marehemu Hamis Tobias Gaga akicheza lakini naambiwa balaa lake lilikuwa kubwa sana. Naambiwa alikuwa anapiga sana mawe. Alikuwa anapiga magoli flani hivi ya kipekee. Je, wewe ni mchezaji gani hujamuona zama zake lakini story za mtaani zinasema alikuwa moto sana
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ni program gani ya Master yenye soko zaidi kwa miaka ya sasa?

    Wakuu mambo vipi? Naomba ushauri wenu kuhusu jambo lifuatalo:- Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu (Bachelor of Environmental Disaster Management - UDOM) nilikua naitaji kwenda kusoma Master ningeomba mnipe uzoefu, ni program gani nzuri yenye tija na ipo chuo kipi ninayoweza kwenda kusoma, pia mimi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasubiri ni afisa habari gani wa Yanga atachaguliwa na Manara tuwe na subira

    Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, nithibitishe kusoma Chuo gani?

    1. Bachelor of accounting with information technology - IFM - DAR ES SALAAM 2. Bachelor of accountancy - T.I.A - MBEYA 3. Bachelor of accounting and finance - CUCOM/SAUT - MBEYA 4. Bachelor degree in accountancy with information technology - IAA - ARUSHA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ