Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
34,106
Reaction score
98,875
Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu.
IMG_0665.jpeg

Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
 
Hivi kwani bado wanatoa nyimbo?

Si wameajiriwa na CCM?

Mimi nikadhani wapo wanafanya kazi, maana kuimba siyo kazi. Ingekuwa ni kazi wasingetutusinsisi hadhira yao, maana bila hadhira fanani wa nini?
 
Hawa siku hizi ni kususia kazi zao tu, na wakafanye show Uganda kwa Museveni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom