Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa.
Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii.
Naamini Mbowe ametangulia ili...
Wamarekani waliposhambuliwa na magaidi haraka haraka walitunga sharia kali za kupambana ugaidi na waliziingiza haraka katika sharia za kimataifa, haitoshi walimwaona gaidi kama kirusi cha hatari kuzidi cha Korona, fasta wakajenga gereza mbali sana nje ya nchi yao kule Cuba gereza la noma...
Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama.
Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika mahakamani lazima apate kipigo na mateso makubwa akiwa chini ya jeshi la polisi.
Ni kweli kabisa...
Kamanda Wambura ametoa taarifa yake kuhusiana na uchunguzi wa kadhia ya Hamza kuwa alikuwa ni gaidi.
Halipo jipya kwenye taarifa hiyo kwani ni wazi kuwa kilichofanyika ni kuhalalisha tu ambacho polisi kama sehemu ya kadhia wangekitaka.
Ikumbukwe pia kamanda Sirro alishahoji hata uhalali wa...
Jamii ya Sasa ina uelewa mkubwa Sana tofauti na jamii iliyowahi kuongozwa na kina Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete. Huwa nasema kuwa Viongozi wetu wasipoijua jamii wanayoiongoza watapatwa na taabu na kudharaulika kila Siku.
Kwa Tanzania Sasa hivi haishangazi kukuta Graduate anaendesha Bodaboda...
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.
Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
Kumekuwa na kundi moja la wananchi wanaoamini kuwa Mbowe amekamatwa kihalali kabisa Katika makosa anayotuhumiwa nayo ya ugaidi na ushahidi usio na shaka yoyote utatolewa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake
Kuna wale tusioamini kabisa kuwa Mbowe ni gaidi na tunaamini pia kuwa, mashitaka haya...
Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu.
Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi.
Chanzo: Ayo tv
===
kutoka Upanga Dar es Salaam kwenye nyumba aliyokua akiishi Hamza, Mwanaume...
Bila kupepesa macho wala kutikisa kichwa Wabongo tumejariwa unafiki tena wa Hali ya juu.
Hii ni juu ya tukio lililo tokea leo maeneo ya Upanga huko Dar es Salaam.
Ukiangalia comment za wadau juu ya tukio hilo wanaliingiza kwenye mambo mawili tofauti.
Mosi ikiwa ni siasa na pili ikiwa ni...
Tukio la huyu jamaa kufanya haya yote!
Japo ni mkristo nilifika kuchukia wanaosema ni askari!
Na leo mama kasema kama mnaona mtu kuwa na kosa kwanza fanyeni uchunguzi kabla kuleta yote!
Mama kaeleza.
Polisi wanaongoza kupiga dili
Askari michongo, askari sio wahaminifu, askari kutaka maisha...
Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani.
Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO.
Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya...
Nitakuwa wa mwisho kwa akili zangu kuamini kua Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe Freeman Mbowe ni GAIDI kwa sababu zilizo wazi kabisa. Mbowe hana chembe chembe za ugaidi na ni ajabu kuamini eti yeye ni gaidi.
Sababu za kunifanya niamini kua Mbowe si gaidi ni hizi:
1. Mbowe ndiye kiongozi pekee...
Kwa taarifa tunayopewa na Jeshi la Polisi nchini, kuhusu tuhuma za ugaidi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni kuwa alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, Katika hoteli yake ya Aishi, iliyopo huko mkoani Kilimanjaro, Kati ya mwezi May na August mwaka Jana.
Swali la kwanza...
Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.