gaidi

Dhullu Gaidi is a village development committee in Baglung District in the Dhaulagiri Zone of central Nepal.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania J.K Rowling: Ikiwa unaamini wapinzani wa kisiasa wanapaswa kuadhibiwa kwa vurugu au kifo, basi wewe ni gaidi

    J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

    Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF, Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sherehe za mwaka mmoja toka Gaidi Hassan Nasrallah aangamizwe!,,

    Nchini Lebanon, hafla ya wanachama na wafuasi wa Hezbollah ilifanyika leo kuadhimisha mwaka 1 tangu kuangamizwa kwa Gaidi Hassan Nasrallah.
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyekuwa akisakwa na IDF akamatwa ndani ya Benk huko Hebron-West-Bank!!

    Vikosi vya usalama vya Israel vilifanya operesheni sahihi katikati mwa Hebron, kumkamata gaidi anayesakwa ndani ya tawi la benki. Wakiwa wamejigeuza kama wateja, wapiganaji waliofichwa kutoka Kitengo cha Duvdevan waliingia ndani kabla hajafyatua risasi. Mshukiwa, aliyehusika na shambulio la...
  5. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaompinga Mpina wanataka Rais abaki madarakani

    Makala ya Uchambuzi wa Kisiasa: Hatma ya Taifa, Mgombea Mpina, na Mvutano wa Madaraka 📅 Toleo maalum | Agosti 7, 2025 ✍️ Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam “Ukombozi haujawahi kupokelewa kwa shangwe na waliovuna kwenye mateso ya wengi.” Hayo ni maneno yaliyotolewa jana na mmoja wa wachambuzi wa...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Muhammad Nasser aliyekuwa ameshikilia Emily Damari nyumbani kwake naye AANGAMIZWA!!!

    BREAKING: Muhammad Nasser, gaidi wa Kipalestina aliyemshikilia Emily Damari nyumbani kwake huko Gaza, aliangamizwa kwa mafanikio na IDF. Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote walio Husinka na mauaji ya kinyama Oct 07,2023 === Quneita was a member of Hamas' Al-Furqan Battalions'...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Asiyetii Sheria na Katiba huyo ni Gaidi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii Katiba na Sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa kuua watu huo ni gaidi. Wasira ameyasema hayo leo Juni 22,2025 alipokuwa akizungumza katika kikao...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

    Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas. Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!! Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Anayeshukiwa kuwa Al-Shabaab ajilipua bomu na kufa na watu huko Somalia

    Yaani jamaa huwa wamejazwa ilmu ya dini, sio mchezo, mpaka mtu anaamua kujilipua...... Asuspected al-Shabab suicide bomber killed several people and wounded others Sunday in an attack on a military recruitment center in southern Mogadishu, Somali authorities and witnesses said. The assailant...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi kiongozi Mwandamizi wa Hamas Mohamed Sinwar aliangamizwa

    Kituo cha televisheni cha Saudi Al-Hadath kinaripoti kwamba mwili ya kiongozi mkuu wa Hamas Mohammed Sinwar na wasaidizi wake kumi ilipatikana ndani ya handaki huko Khan Yunis, kulingana na vyanzo. Ripoti hiyo pia inadai kuwa Mohammed Shabana, kamanda wa Kikosi cha Hamas cha Rafah Brigedi...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Polisi adungwa kisu Mgongoni na Gaidi la kiarabu huko Jerusalem Mji mkongwe!!

    🚨 GRAPHIC VIDEO: Report ya Awali ya Polisi: Anayeshukiwa Kudunga Kisu Shambulizi la Kigaidi katika Mji Mkongwe wa Jerusalem Muda mfupi uliopita, afisa wa polisi alidungwa kisu katika Jiji la Kale la Jerusalem. Mshukiwa alipigwa risasi na kutengwa na maafisa wa eneo la tukio. Kutokana na...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Je akina nani walisaidia na kufanikisha zoezi la kumwangamiza Gaidi Mohamed Sinwar huko Gaza??

    Na je Israel ilijuaje lini na wapi pa kumtoa Mohammed Sinwar na viongozi wengi waandamizi waliobaki wa Hamas? Unakumbuka siku kadhaa zilizopita wakati watu wawili kwenye picha hapo chini walipojisalimisha kwa majeshi ya Israel kusini mwa Gaza? Hapo ndipo msemo wa Samaki kajikaanga kwa mafuta...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Shambulio lililo katiza maisha ya Gaidi Mohamed Sinwar huko Gaza ndani ya Hospitali ya Nasser

    Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz: Hatutaruhusu shirika la kigaidi la Hamas kutumia hospitali na vituo vya misaada ya kibinadamu huko Gaza kama vituo vya makazi na amri za ugaidi. Tutawafuata viongozi wake na kuwapiga kwa nguvu zote kila inapobidi. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mimi...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Rais Trump akutana na gaidi aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na CIA

    CIA iliweka mezani kiasi cha fedha za kimarekani $10 million kwa yoyote atakaye mpata Muhammad Al-Jawlani https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=jV1xFNQFpYt4svya5WAz6w&s=19 Leo hii Rais wa marekani kakutana na gaidi la magaidi lililokuwa linatafutwa tutegemee Trump kulamba...
  15. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mkewe aliyekataa kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye aangamizwa huko Gaza!!

    Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye ameangamizwa katika mji wa Gaza alipokuwa akijificha miongoni mwa raia katika kitongoji chenye wakazi wengi. Majeshi ya Israel kwa umahiri mkubwa yameweza kumwangamiza. Gaidi Razeq al-Madhoun alihusika moja kwa moja kwenye Ubakaji, Utekaji na mauaji ya Oct 07,2023.
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mpiganaji wa Hamas afariki na mwingine akamatwa baada ya kuviziwa wakisafirisha silaha

    Maafisa wa polisi wa kitengo cha wasomi cha Gideons cha Lahav 433, chini ya uongozi wa Shabak, walimkamata mpiganaji wa Jihadi aliyekuwa na silaha nzito huko Qalqilya ambaye alikuwa akielekea kutekeleza shambulio kubwa la kigaidi. Bunduki tatu za M-16 zilipatikana kwenye gari lake. Magaidi...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa kikosicka cha magaidi wa Hamas huko Shejaiya gaidi Haitham Sheikh Khalil, ameangamizwa bila huruma yoyote na IDF

    IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliye kubuhu Hassan Badir ameangamizwa leo hii huko Beirut-Lebanon

    Ameangamizwa: Hassan Badir, anayejulikana pia kama Haj Rabia, mwanachama wa Hezbollah anayehusika na ushirikiano kati ya IRGC ya Iran na mashirika mengine ya kigaidi ya Palestina dhidi ya Israeli. Alilengwa katika shambulio la bomu huko Beirut asubuhi ya leo.
  20. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Israeli yaua Gaidi aliyejificha kwenye Uandishi wa Habari

    Kijana mdogo amekwenda na maji majuzi, Magaidi yanalia, Yatanyamaza yatasahau kisha yataendelea tena kulipua Sijaona watu wenye "chicken brain" kama magsidi. Good Job IDF
Back
Top Bottom