fursa

  1. JamiiForums Tanzania Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM rekebisheni uandishi wa Vyeti, mnatukosesha fursa kwenye Ajira Portal!

    Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
  4. JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dar,Mwanza Mbeya ni namba tatu kwenye fursa za uchumi

    naifahamu Tanzania nzima kwa kufika maeneo mengi na kufanya biashara, Nimendesha Lori karibu kila sehemu ya nchi hii nimefika , na Mimi ukitoa mengine yote ninaposafiri huwa nasoma fursa za kiuchumi za maeneo husika. Hili limenifanya nijifunze hili ukitoa jiji La Dar, na mwanza ambayo yana...
  6. JamiiForums Tanzania Kama humiliki/huna kiwanja/plot hii Ni fursa kwako.Changamka

    Ninaendelea kuwakumbusha watu wote ambao wanahitaji kumiliki viwanja vya gharama nafuu maeneo ya pembezoni mwa jiji la Mwanza bado vinapatikana.Changamkia fursa hii Sasa kwa kuhakikisha unajipatia plot yako kwa gharama nzuri kwani kadri muda unavyoenda ndivyo gharama ya viwanja huongezeka bila...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi

    Habari waungwana. Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora. Lita 1 ni elfu kumi 10k Lita 5 ni elfu hamsini 50k. Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
  9. JamiiForums Tanzania Ukipata fursa wee piga tu

    Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake. Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji. Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao...
  10. JamiiForums Tanzania Simba Yanga zitumie fursa ya Mashabiki kuongeza mapato. Nahisi bado kuna room

    Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato. Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda kukawa na sehemu ya vinywaji vikawa na nembo au picha ya Mchezaji aliyefurahisha Mashabiki kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  12. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wa Shaba waaswa kujiunga na vikundi kunufaika na fursa za maendeleo

    Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wanajua kutumia fursa ukifika afrikana kama unashuka juliana kutana na pacome liquer, pacome design

    Mji mtamu huuuu Nasema kama sio pacomw of Basi mhusika congs nimependa sana kuina hilii Ukifika afrikana shuka ukienda juliana club Unakuta kushoto duka la vinywaji la Pacome Na mambo ya design.... B blsd mmiliki
  14. M

    JamiiForums Tanzania USIKURUPUKIE SITI ILIYOKO WAZI UKAJUA NI FURSA YA KUKAA JUA KWANZA KWANINI IKO WAZI ILIHALI KUNA WATU WAMESIMAMA NA WANAIONA

    Yawezekana kweli hawataki kuikailia ila pia yawezekana yenyewe ndio haitaki kukaliwa hivyo ukiona siti iko wazi usikurupukie . Mganga anakwambia atakupa utajiri wa mabilioni jiulize kwanza kwanini yeye hayataki hayo mabilioni na kwanini ndugu zake hajawapa hayo mabilioni ikiwa yeye hayataki je...
  15. JamiiForums Tanzania Fursa za Uwekezaji Zinazoibuliwa na Takwimu za Mauzo ya Nje ya Mazao ya Kilimo Tanzania (2023/24)

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
  16. JamiiForums Tanzania Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP, Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao! WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge linamalizika, je Samani huwa zinabadilishwa, naona fursa ya Viti vile😌

    Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya.. haya tuachane na hiyo😊 Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani wanatumia, kama wanauza tupeni network jamani tukapambanie, hata pcs 100 tu. Kwanza tunapunguza nuksi...
  18. JamiiForums Tanzania Nikupeana fursa tunazoona zinatufaa na zitatupeleka jwenye njia ya mafanikio

    📦🌸 Fursa ya Biashara kwa Wauzaji wa Sanitary Pads – “Fly Free” kutoka China! 🌸📦 Tunawaletea bidhaa mpya ya sanitary pads za ubora wa hali ya juu zinazofahamika kwa jina la Fly Free, zikiwa na teknolojia ya kisasa na viwango vya kimataifa. Kwa bei ya jumla ya Tsh 500 tu kwa pakiti, hii ni bidhaa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri kombo awasisitiza diaspora kuchangamkia fursa

    WAZIRI KOMBO AWASISITIZA DIASPORA KUCHANGAMKIA FURSA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini China (Dispora) kuchangamkia fursa ikiwa ni pamoja na kuongeza mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania USHAURI: Dogo kawa offered kazi private mshahara tsh 650,000. Ana degree kamaliza chuo mwaka jana. Vp achukue hio fursa au mshahara unafinya?

    Kwa sasa amejishikiza sehemu kam intern wanamlipa 300,000 Degree yake ni ya finance/banking
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…