fursa

  1. JamiiForums Tanzania Scholarship: Watanzania changamkieni fursa

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri! wakuu, mzigo umetoka! kama uko interested in Diploma in financial market operations Diploma in Capital Debt markets Diploma inSecurities & Derivatives Huu mzigo unatolewa na ICMA , yaani International Capital Market Association. kwa wale wa finance na...
  2. JamiiForums Tanzania DC Jokate, ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Temeke gulio kutoa fursa adhimu kwa wadogo (wamachinga) wilaya ya Temeke

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Youtube kumetulia, nashauri wasanii kutumia fursa ya huu utulivu ambao hautadumu

    Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze. Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata hajatrende vizuri mwengine ashaachia jiwe. Nadhani kwa sasa hu utulivu uwe fursa kwa wasanii. Goli...
  5. JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fursa zipatikanazo katika Sayansi na Teknolojia kwa wanawake na wasichana.

    Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee. Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukipeleka umeme vijijini, tutaua ndege wawili kwa jiwe moja kwa kupata nishati ya umeme na tutatengeneza fursa nyingi zitokanazo na umeme

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya kazi. Matumizi yake ni mengi mno na umuhimu wake hauelezeki. Heko kwa Serikali ilijitahidi na...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Fursa za uwepo wa vijana

    Tanzania ni moja ya mataifa ya kiafrika yenye idadi kubwa ya vijana. Inakadiriwa ya kwamba zaidi ya theluthi moja ya watanzania wote ni vijana, Yaani kwenye kila watu watatu mmoja ni kijana. Hii inaweza kuwa moja ya fursa kubwa kwa taifa au Bomu moja litakalolipua uchumi wetu, itategemea na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fursa za uwekezaji nchi wanachama wa Afrika Mashariki

    Habarini Wana EAC Mimi nmekuwa msomaji wa mada nyingi sana ambazo zimekuwa zikianzishwa katika section ya forum hii Kikubwa zaidi nilicho observe ni mashindano. Tz vs Kenya nyingi mno katika aspect tofauti ila kwa watu wapenda fursa au exposure katika eneo letu la East Africa kama vijana wenye...
  10. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kila mtoto mwenye saratani anastahili fursa ya tiba

    Ilikuwa joto na kelele Ijumaa alasiri huko Mwanza Mjini, biashara kama kawaida katika Duka la Vifaa linalomilikiwa na Mzee Kitalu, anayejulikana pia kama Baba Jafari, ambaye alikuwa kwenye mazungumzo ambayo hakuona kumletea faida. “Baba Jafari, bei ni kubwa mno. Hizi ndizo pesa pekee tulizo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ubunifu ni tabia muhimu sana katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili jamii

    Ubunifu ni tabia muhimu sana katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili jamii, lakini pia katika kuzalisha fursa mbalimbali za biashara. Kama nilivyoeleza huko nyuma, fursa ya biashara ni tunda la wazo zuri la biashara. Watu wengi wanachanganya matumizi ya maneno haya; yaani wanasema wazo la...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Amkeni Mwokoe Nyakati

    1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu, Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu, Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu, Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu, Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale. 2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

    Biashara ni kutatua changamoto za watu. Watu waliopo nje ya Dar es Salaam hupata shida kufuata bidhaa Kariakoo Dsm. Imagine mtu anafunga safari toka Songea au Kigoma, Mwanza, etc. mpaka Dar es Salaam kufuata bidhaa ambazo zinaweza kusafirishwa mpaka mtu (mfanyabiashara) alipo bila kutumia...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini vijana wengi wana uoga wa kuongea mbele ya watu (public speaking)?

    “According to most studies, people’s number one fear is Public speaking. Number two is death. Death is number two. Does that sound right? This means to the average person, if you go to a funeral, you’re better off in the casket than delivering the eulogy.”- Jerry Seinfeld, Comedian. “ Kutokana...
  15. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa kilimo na fursa ya uwekezaji katika kilimo cha pilipili kichaa

    Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau wengine muhimu tulipitisha mradi wa kuwawezesha wawekezaji katika mradi wa pilipili kichaa kwa 50%. Unachotakiwa ni kuchangia 4.2M/Acre kisha utaweza kupata huduma zifuatazo: 1. Shamba kwa muda wa miaka mitatu 2. Kufyeka shamba 3. Kung'oa visiki 4. Kulima...
  16. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira na biashara makaburini

    Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha spika na microphone, kuuza maji ya kunywa kwa waombolezaji, mashada ya maua, chakula, usafiri nk...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Upo uzembe mkubwa kwa Serikali kusimamia fursa katika miradi ya maendeleo tuliyokopa

    Nimeenda mradi wa maji mmoja tunaoutekeleza hapa nchini kwetu kwa kutumia mkopo wa mabilioni kutoka "EUROPEAN INVESTMENT BANK" pamoja na AFD. Mabilioni haya tuliyakopa tunatekeleza mradi huo kwa kutumia kampuni ya kichina. Kampuni imeajiri wahandisi watanzania wanne na anayelipwa fedha nyingi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu fursa ya kutumia bussiness whatsapp kufanya biashara

    nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu unakua kwa kasi kila siku Kutoka kwenye status za kuandika mpaka status za picha na video. Kutoka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tumieni jicho la tatu kuiona fursa ya Royal Tour

    Ikiwa ni wiki ya pili muendelezo ya safari ya Rais Samia katika kurekodi vivutio vya Utalii kwa ajili ya kulitangaza Taifa letu katika mataifa mbalimbali Duniani katika Utalii. Kalamu yangu iende kwa Gerson Msigwa, Vijana, Wasanii na Vyombo vya habari. Kwa Msemaji wa Serikali kwanza kabla ya...
  20. JamiiForums Tanzania Vita ya beki tatu na mama mwenye nyumba inavyogeuka fursa mtandaoni

    Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi dhidi ya wake zetu bado haijakwisha, mbichi kabisa. Kila nikitazama sioni dalili ya vita hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…