fursa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha parachichi kimekuwa fursa kwa vijana wasio na ajira

    Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi. Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe mwenyew, matunda na kufanya biding na mengineyo. Tunawezaje kuotesha miche na kujipatia pesa, nataman...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fursa pekee zinazopatikana kwa mwalimu wa Tanzania

    Nimekuwa mwalimu wa Serikali tangia mwaka 2015, niliyajua haya kabla ya kuajiriwa na baada ya kuajiriwa nimeyathibitisha, ualimu ni moja ya kazi ambazo zinatoa nafasi kidogo sana kwa wajiriwa kufanikiwa kiuchumi kiasi kwamba mtumishi yoyote ukiijitambulisha ni mwalimu watu hukuunganisha na...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itoe fursa ya watumishi waliotumikia kwa zaidi ya miaka 15 kustaafu kwa hiyari

    Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali. Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo. Ufike...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya watanganyika na wazanzibari, Nani wananufaika zaidi na fursa za upande mwingine?

    Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari? Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka. Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
  6. JamiiForums Tanzania Fursa za Biashara Uganda

    Habari wadau. Poleni kwa majukumu. Kwa wale wanaoijua Uganda, naomba kujuzwa fursa zipi za Biashara zinazopatikana kule. Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Zero brains societies mnawaza kuua innocent kids than to deal with them in Good way Panya road ni Zao la watu waliotengwa na Fursa.

    Haiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu. Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha...
  8. JamiiForums Tanzania Anaweza kuelezea faida za muungano aje atuambie. Je Tanganyika ingekosa fursa zipi Kama Zanzibar wangeungana na Kenya?

    Tumelishwa imani nisiyojua nini maana yake. Licha ya Tanzania kuungana na Zanzibar bado Mombasa wana maingiliano makubwa ya kitamaduni na Unguja na Pemba nadhani kuzidi hata Dar es Salaam. Je, Nani anaweza kufafanua manufaa ambayo Tanganyika imeyapata kutokea muungano ya kiuchumi, kisiasa na...
  9. JamiiForums Tanzania Mnasema vijana hawachangamkii fursa? Wakati mnapiga pesa

    Hii inatia hasira sana hizi hela zimeliwa kama muchwa bila huruma yaani zimepigwa vikundi hewa hivi viko vya kutosha watu wameingia front wakapita na hizi pesa bila aibu === Vikundi hewa 30 vyakopeshwa fedha za halmashauri Mwanza Bilioni 4.9 zayeyuka Imebainishwa kuwa jumla ya vikundi hewa 30...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza tololi Tsh 100,000, nipo Dar

    Hii tololi ni nzuri akipata eneo lenye mzunguuko mfano stand au sokoni Nauza laki tu Dsm ☎️ 0718909429
  11. JamiiForums Tanzania FURSA Y KIBIASHARA-BUSINESS OPPORTUNITY

    Distributors Business opportunity As said, Dutch Farm International operates a global network of Distributors to market our products. We are constantly seeking opportunities to expand our business to new countries and markets. And in our business model we do so by cooperation with exclusive DFI...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fursa katika biashara ya nafaka

    Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani hasa Uganda, Sudani kusini au Burundi. Ni biashara ambayo naifatilia juujuu tu ila safari hii...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kujiajiri kwa Vijana

    Habari wana JF, Kuna fursa tunaweza ku ungana kama vijana na tukajiajiri wenyewe(kwa walio serious tu) Nahitaji vijana wasiopunguwa kumi(10) ili tuweze ku ungana na kujiajiri wenyewe Vijana hao wawe na Sifa zifuatazo 1. Sifa ya msingi; Angalau awe na elimu ya shahada ya kwanza 2. Awe ana...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mradi wa FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara) ni mradi wa kuchangamkiwa na vijana wengi

    FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa" Mradi una malengo makuu mawili: 1. Beekeeping transformation from local/primitive...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

    Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara fursa ya kupandisha vitu bei wameitumia vizuri. Naona wako fasta sana, kila kitu kimepanda

    Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli. Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu. Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
  17. M

    JamiiForums Tanzania Chadema hii ndio fursa itumieni vizuri.

    Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi. Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola. Changamkeni mtumie hii fursa.
  18. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya DR Congo kuingia EAC, sasa changamkieni fursa kama ifuatavyo

    Achana na Wakenya wenye elimu yenye tija walioanza kuwekeza kwenye mabenki na IT na kuanza kutafuta masoko ya bidhaa zao za viwandani na wamewekeza kwenye madini. Achana na Watanzania wa taqwa na classic waliowekeza muda mrefu kwenye usafiri wa mabasi ndani ya DRC, je wewe Mtanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi zetu toeni fursa kwa Wajasiriamali

    Inashangaza Sana Balozi zetu huko ughaibuni hazitoi taarifa za fursa zilizopo huko. Fikiria nchi za Middle and Far East zilivyo na fursa ya Ajira, chakula na Ujenzi Ila wenzetu ubalozini wametulia tu. Qatar World Cup 2022 inakuja Ila utakuta hawa ndugu zetu hawana huo muda. Why? NB: Ubalozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…