furaha

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

    Tazama sura yake
  2. JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

    Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka. Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Chadema hawana madaraka ila wana furaha na wana watu nyuma yao; CCM madaraka yanawatesa

    Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha. Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  7. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania. Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya furaha. Tumebarikiwa kuwa na waasisi bora wa taifa waliotuachia misingi imara isiyotikisika...
  9. JamiiForums Tanzania Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

    Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo. Mambo matatu yenyewe: ( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi" ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

    Watu walishangilia na kugongeana bia.. Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo... Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"... Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu". Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi...
  11. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam

    Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam. 1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga. 2. Asilimia kubwa ya wakazi wa Mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bila furaha hakuna ubunifu wala mafanikio

    Siku moja kundi la watu 50 walikuwa wakihudhuria semina moja. Ghafla mwezeshaji akaacha kufundisha na kutoa zoezi ambalo walitakiwa kulifanya kwenye makundi aliyoyagawa. Baada ya hapo akampa kila mtu puto na kumwambia alipulize lijae hewa na kuliandika jina lake kisha wakayakusanya na kuyaweka...
  13. JamiiForums Tanzania Wanasema pesa haiwezi kununua furaha; lakini je, umasikini unaweza kununua nini?

    They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree But, what can poverty buy? Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii. Hapa duniani hakuna...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Pele kuruhusiwa kutoka hospitalini baada ya opereshen nakuonesha furaha kubwa

    hapa akiwa na binti yake. hapa akichekeasha yuko tayari kucheza dk 90 na extra time.
  15. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania hata kama tungekuwa na dhahabu kila mtaa bado umaskini ungekuwepo

    Habari za asubuhi waungwana! Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala. Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko. Nimebahatika kufanya kazi kwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mightier sijachukia Simba SC yangu Kufungwa Goli 1 kwa 0 na TP Mazembe katika Simba Day na bado nina Furaha kwa Mbungi Kubwa iliyopigwa?

    1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC. 3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudumu na kuishi maisha ya furaha na mwenza wako

    Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi. Unaweza kufanya vitu mbalimbali ili kuhakikisha unakuwa na unaishi kwa furaha na kudumu katika mapenzi...
  20. JamiiForums Tanzania Bodaboda: Furaha za punguzo la adhabu ya makosa ya barabara imepotea?

    Tulishuhudia na kusikia shangwe za wabunge, Bodaboda na wamiliki wa pikipiki wakati bajeti inasomwa na mheshmiwa Wazili Mche. Naomba kufahamu, hali ya sasa katika Hilo nchini kwakuwa, nimeona idadai ya pikipiki inaongezeka katika vituo vya polisi. Mbaya zaidi, nimeona askali wetu wakizisaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…