fresh

"F.R.E.S.H." was the second single released from Scribe's second studio solo album, Rhyme Book.
It was released on 8 September 2007."F.R.E.S.H." stands for "Forever Rhyming Eternally Saving Hip hop".

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya maziwa mtindi na maziwa fresh

    .
  2. D

    JamiiForums Tanzania 25 years of marriage, mke positive, mume freshi!

    Story short, I'm in my 20's, sijaoa na sina plan ya kuoa. Huyu mzee ni mtu ananipa support za kazi sana, huyu mzee wangu wa karibu, wana 3 children. Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu kaamua. Mzee wangu mtu safi sana, ila mke sasa ni moto mkali. Ana cheat na mume anajua tena fresh. Akihoji...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Declarations Officer at TAHA Fresh Handling Ltd February, 2024

    Position: Senior Declarations Officer Reporting to: Sea Freight Manager Location: Arusha (1) Duties and Responsibilities Receive inquiries from customers and advise on document requirements for clearing consignments both, imports and exports. Informs / notifies the client of any changes with...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini fresh graduate au wanamda mfupi ujiona wajanja sana kwenye life za maisha na utafutaji?

    nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha. maana hayashauriki
  5. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Maziwa Fresh yanayouzwa siku hizi Yanachakachuliwa sana

    Mfanyabiashara anaona Kununua Lita moja ya maziwa fresh ni heri ananunue Kopo la maziwa ya unga na akapata lita zaidi ya 20 za maziwa na wanayaongeza na Butter 'magarine' ili yawe na vimafuta na yakipoa yanaonekana kama maziwa halisi ya ngombe Yani Biashara ya maziwa siku hizi ni uhuni mtupu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Business Partners wanahitajika: Biashara ya Maziwa Fresh & Mtindi

    Wanahitajika business partners wawili hadi watatu. Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi. Biashara itakuwa jumla na reja reja. Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam. Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar. Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam...
  7. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

    Habari wanajamii... Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana. Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE. Malipo ya kazi nalipa...
  8. john perfect

    JamiiForums Tanzania Juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?

    habari wapendwa, Je, ni kweli fresh juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

    Wanyakyusa aisee hebu rekebisheni hili ndugu zangu mnasalimia salimia Sana mnaongea sana Hadi mnakera na mnajua Kila kitu Yani ujuaji mwingi hii sio fresh sio Poa badilikeni bana!! Mods msifute huu uzi Mimi nilioa Kwa wanyakyusa ila nilimuacha dada Yao nikaoa mpare mwenzangu!
  10. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenzi wa Samaki Sato (Fresh)

    Hello ladies and gentlemens? Poleni na pilika pilika za maisha nimekuja na habari nzuri kwenu kwa wale wapenzi wa Sato wabichi (fresh) Tunatoa huduma ya kuuza samaki fresh aina ya Sato kwa bei ya Tsh 8,500 kwa kilo, wanaingia kati ya samaki 5 - 4 kwenye kilo 1. Samaki wetu wanaradha nzuri kwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Offer: Vitunguu Saumu ( Fresh Garlic)

    Fresh Garlic Offer! 2,000 Tzs / Kg ($0.9/Kg) From Iringa - Tanzania MOQ: 100 Kgs Call: + 255 658 700 510 Grab this Offer Now!
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

    Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
  13. KJ07

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya juice fresh za matunda?

    Habari wakuuu. Nimekuja mbele yenu kutaka msaada kwa mwenye ujuzi wa biashara ya juice za matunda fresh location ni Dar. Je, ni zipi changamoto za biashara hii. Je, soko lake likoje na ni kwa namna gani naweza kuingia katika soko la ushindani. Je, mtaji ambao unaweza kuendesha biashara hii...
  14. MPINGA UKAWA

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanzisha biashara ya kuwauzia maziwa viwanda vinasindika maziwa kama vile Tanga fresh na vinginevyo

    Wakuu nawasalimu Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Chadema, Swot Analysis, PEST Analysis, Imarisheni Strengths, Shughilikieni Weakness, Start A Fresh!.

    Wanabodi, Chadema imetimiza miaka 30. Tangu ile Chadema inazaliwa miaka 30 iliyopita, imezaliwa na kunikuta mimi tayari niko newsroom kwa zaidi ya miaka 2, hivyo Chadema imezaliwa naiona, inakuwa naiona, ilipofika peak naiona, na sasa imeanza kusinyaa naiona, na ikiendelea hivi kwa mwendo huu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Soda za Coca Cola zimeadimika mtaani pia maziwa fresh ya packet

    Hizo bidhaa hazipatikani ama kama zipo ni kwa uchache sana. Kunani? Sambamba na hilo, vitu vimepanda saaaana bei , wachumi mnasemaje?
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ohhh No!!! Hacker Leaks Fresh Copies Of Judith Heard's Nude Pics, She Cries Out For Help

    International model and city socialite Nalongo Judith Heard is currently under panic after fresh copies of her n#de pics getting leaked on social media, she claims it was hackers but how did they get hold of content in her phone? According to Judith Heard, she has revealed that she lost her...
  18. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania asks for fresh report on Kenya’s industrial sugar

    Tanzania asks for fresh report on Kenya’s industrial sugar WEDNESDAY JUNE 09 2021 A trader arranges sweets at a factory in Industrial Area, Nairobi. Tanzania has said it will not grant Kenyan confectionery duty-free access to its market. FILE PHOTO | PHOEBE OKALL By JAMES ANYANZWA More by...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Fresh Building Technician anahitajika

    Alpha Homes kampuni inayojiusisha na property management, renovation, maintanance na landscaping yenye makazi yake mkoa wa Dar es salaam inaitaji Building/civil technician pamoja na qualifications za elimu yake, anatakiwa awe mwenye sifa zifuatazo: Aliemaliza chuo au uzoefu wa mpaka mwaka...
  20. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Samaki fresh from Mwanza

    Anahitaji kufanya biashara ya samaki fresh kutoka Mwanza ziwa Victoria awasiliane na mimi nauza in bulk. Pia wanaohitaji samaki kwa matumizi ya nyumbani karibuni tunauza ndoo kubwa na ndogo kwa bei poa. Samaki wetu tunawasafirisha kwa ndege hivyo ukitoa oda na kulipia kesho yake unapata samaki...
Back
Top Bottom