Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

IamBrianLeeSnr

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
2,011
4,165
Habari wanajamii...

Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.

Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE.

Malipo ya kazi nalipa kwa siku(POSHO) kulingana na mauzo ya siku yanavyopatikana na kiwango cha malipo hutegemea na order zilizouzwa na huyo mhudumu, Bar inatoa huduma mbalimbali za vyakula aina zote kama mbuzi Choma, Kuku Choma, Samaki Choma, Wali, Ugali na Mchemosho aina zote una pata, Pia ndani ya Bar tunatoa huduma ya ukumbi kwa ajili ya sherehe mbalimbali kama KITCHEN PARTY, SEND OFF, WEDDINGS pamoja na shughuli nyinginezo nyingi.

Kwa aliyetayari na mwenye uhitaji karibu PM kwa mazungumzo zaidi na kupata mawasiliano ya moja kwa moja na Manager wa hapo BARACUDA BAR & LOUNGE.

Ahsanteni na Karibuni sana...
8CF4F423-A160-4744-936B-CE7BEAF5AEA9.png
0F62C8E8-4BAB-4504-8399-2DC3CC45CBDF.png
6A6F320A-7548-4003-86BC-E1BA44E80478.png
636581D9-0992-4876-910C-9C84FBDC8C80.png
998D610D-CA80-47B4-8A7C-43A9174B4571.png
36316C00-0C01-42A8-A941-DE072C9B1DFD.png
 
Naamini utawapata, wakizidi naomba namimi unipunguzie/uniunganishie wawili tu utakaowapata

Kazi ni ya uuzaji wa duka la electronics, Mahali ni mbezi Mwisho ILA kwasasa acha tupige tarumbeta

wapatikane wa juice,tupate juice za kueleweka,Tester nipo hapa
 
Naamini utawapata,wakizidi naomba namimi unipunguzie/uniunganishie wawili tu utakaowapata

Kazi ni ya uuzaji wa duka la electronics,Mahali ni mbezi Mwisho ILA kwasasa acha tupige tarumbeta

wapatikane wa juice,tupate juice za kueleweka,Tester nipo hapa
Hahahaaa... Ondoa shaka mkuu! Nitafanya hivyo 🤣🤣
 
Back
Top Bottom