fresh

"F.R.E.S.H." was the second single released from Scribe's second studio solo album, Rhyme Book.
It was released on 8 September 2007."F.R.E.S.H." stands for "Forever Rhyming Eternally Saving Hip hop".

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Samaki Fresh toka Mwanza zimeingia leo kg 13000 ukinununua zaidi ya kg 10.. Unaletewa bure ulipo Dar

    TUPAMBANE TUKIWA HAI WAPENDWA KIJANA WETU AMEINGIA NA MZIGO.MWINGI TU WA SAMAKI TOKA MWANZA SANGARA KG 13000 UKINUNUA ZAIDI YA KG 10 UNALETEWA BURE CONT 0783 80 52 14 Past DICKSON Ukiitaji na Sato kama zitakuwa hazinaisha anakuketea ulipo Mungu awabariki
  2. R

    JamiiForums Tanzania My memory is very fresh, walikana kuwa hawajalifungia Kanisa la Gwajima. Leo tena eti wamelifungulia

    Mfa maji hutapatapa! Mlisema hamjalifungia, leo mnafungulia lipi? Mna dhambi kubwa
  3. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nataka gari ya mil5 IST,vitz iwe D fresh?? Sijui kuhusu magari ila Usijaribu kunirubuni

    Matajiri Nashida na kagari flan ivi ka kujifunzia funzia na kwendea sokoni. Location mwanza Nb: huwa napenda kujua na sababu ya kuuza
  4. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania Kuna wadau wa fresh coffee humu?

    Habari wakuu? Je kuna wadau wapenzi wa kahawa nzuri na fresh humu?upo tayari kulipia bei gani kwa premium fresh coffee ambayo imeroastiwa si zaidi ya 48 hours.? Tembelea website yangu kuona machaguo yako na maoni yako. Website ni mpya na nakaribisha maoni mbali mbali. www.Brewa.co.tz or call...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hivi dunia nzima kuna mhindi anayemiliki timu na anatoa pesa fresh tu bila malalamiko?

    Si kwa ubaya, ila sisi wahindi especially wa jamii ya ponjoro, tunajulikana zaidi kwa kuchezesha kamari, kutumikiaha watu kwa ujira kidogo na kulalamika tunapata hasara. Hiyo ni jadi yetu na hakuna wa kutubadilisha. #SijamtajaMtu.
  6. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania Kahwa safi na fresh iliyokaangwa chini ya saa 48

    Kama mdau niliebahatika kulelewa kwenye mazingira ya kutegemea kilimo cha kahawa kwetu Arusha, nilikua nasikitika sana watumiaji wengi wa kahawa kutojua ladha halisi na fresh ya Kilimanjaro. Kahawa nyingi sio fresh aidha zimekaa sana au quality ya Buni ni sio nzuri. Kwa miaka mitatu iliyopita...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sijui huyu dada anawezaje kuwa na "Kipapiro" fresh all the time. Nikimuuliza anasema kawaida tu

    Katika wanawake 10 inawezekana mmoja au asiwepo ambaye atakubali ukishike kipapiro chake akiwa ametoka kazini. Na sababu kwa wengi huwa wanaogopa utakutana na harufu ambayo si ya mvuto. Dada mmoja aliniambia tu kwa uwazi. Chiddy, utakutana na harufu ya mkojo.nikasema haina shida.na ni kweli...
  8. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania MABAGA FRESH

    KUTOKA DISABLED JAY RAPERS GROUP HADI KUJIITA " MABAGA FRESH".. Katika ulimwengu ambao mara nyingi huhusisha mafanikio na ukamilifu wa kimwili na kiakili, ni muhimu kufahamu kuwa kuna watu wenye ulemavu ambao wameweza kuvuka changamoto hiyo na kutenda mambo makubwa ambayo yanaweza kuwa mfano...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chumba master kinapatikana Pugu Kigogo fresh

    Vyumba ni vikubwa, ni chumba na sebule choo ndani na kibaraza nje pia kuna choo cha nje. Kodi 80,000/= Hakuna dalali 0684223374
  10. johari Joh

    JamiiForums Tanzania Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

    Kama unahitaji Samaki weka order yako lipia utumiwe mzigo wako . • SATO. 1. Wabichi. 2. Kukaanga. 3. Kg 13,000. • SANGARA. 1. Wabichi. 2. Wakavu. 3. wakukaanga. 4. Kg 11,000. • DAGAA. 1. Wabichi Kg 5,000. 2. Wakavu Kg 8.000. 3. Wakukaanga. 18,000. •...
  11. Mributz

    JamiiForums Tanzania Freezer fresh kabisa

    Ubungo dsm 0718909429 850k Lita 450
  12. B

    JamiiForums Tanzania Fresh Dossier: Africa’s deadliest wars getting fueled by UN sanctioned arms companies.

    By Reporter. Fresh Dossier: Africa’s deadliest wars getting fueled by UN sanctioned arms companies. New classified reports and documents from the United Nations Security Council and a company supplying arms and armored vehicles to a section of conflict riddled African countries has revealed...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

    Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), Conrad Simuchale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Video iliyosambaa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: 2grfse (Crown Athlete), inalia knock kwa mbali sometime hailii kabisa na iko fresh, engine power haipungui.

    Habari wadau, Nimekwama hapa, mana hakuna check engine light inayowaka. Gari inalia knock kwa mbali lakini nikiwa naendesha, huwa inapotea, ila nikisimama naanza kusikia mlio wa knock. Saa nyengine nikiwa idle, hakuna mlio wa knock kabisa, engine inanguruma vizuri tu, na sometime ikiwa idle...
  15. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  17. Manka R

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA VINNE - PUGU KIGOGO FRESH 150,000x4 -0684223374

    Gari inafika sebule, dinning, etc
  18. Manka R

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  19. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula...
Back
Top Bottom