Nyumba/vyumba vinapangishwa Pugu Kigogo

Manka R

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
213
10
Hakuna dalali:
Chumba na master yake na baraza nje - 100,000/= kwa mwezi kodi miezi 6.

Nyumba ya vyumba vinne, choo na bafu ndani jiko sebule kubwa, dining baraza kubwa mbili - 250,000/= kwa mwezi.

Zote zipo eneo moja, barabara ipo pande zote, maji ya kisima yapo nje pia choo cha public kipo +255785825442.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom