25 years of marriage, mke positive, mume freshi!

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,989
Story short,

I'm in my 20's, sijaoa na sina plan ya kuoa. Huyu mzee ni mtu ananipa support za kazi sana, huyu mzee wangu wa karibu, wana 3 children.

Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu kaamua. Mzee wangu mtu safi sana, ila mke sasa ni moto mkali. Ana cheat na mume anajua tena fresh. Akihoji anawaka, ana shout usimpangie.

Hapiki, hafanyi chochote. Yeye ni michepuko na vijana wadogo, kisa watoto na jamii yake, mzee katulia na ndoa yake asionekane mtu wa ovyo.

Despite all the sickness na shida yote, mzee yupo nyuma yake kila siku with all the support! Sio poa kabisa!

Haya maisha ya Kiafrika ya kutokuwaambia watoto tena wakubwa kuwa mambo sio mambo ni ujinga kama ujinga mwingine. Vitu viwe open tu. As children ulizeni wazazi wenu kama mambo yapo sawa, sio mnaishi tu.
 
Screenshot_20240307-064452_1.jpg
 
25 years of marriage, mke positive, mume freshi!
Mke positive maana yake ana umeme a.k.a moto?
Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu kaamua. Mzee wangu mtu safi sana, ila mke sasa ni moto mkali. Ana cheat na mume anajua tena fresh. Akihoji anawaka, ana shout usimpangie.
Mzee kawa mpole maana hawezi kula tunda hapo tena
Yeye ni michepuko na vijana wadogo,
Duh, huyo mama ni sheitwani, anawahisha vijana wadogo kwenye gridi
 
Kwahiyo ukishajua kuwa mama yako ni malaya itakusaidia nini? Maake unasema vijana wawe wanawahoji wazazi kama mambo yao yapo sawa.

BTW wanaume huwa haturopoki ropoki mambo ya faragha ovyo ovyo kwahiyo hata ukimhoji baba yako juu ya hayo unayotaka kuyajua si ajabu atakujibu tu kifupi "mwanangu kua uyaone".
 
Back
Top Bottom