forums

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali ya awamu ya tano imeyafanyia kazi baada ya kubandikwa hapa JamiiForums

    Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums. Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia JamiiForums ambapo mengi...
  2. JamiiForums Tanzania Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

    Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22 Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF enzi hizo tulikuwa wachache sana humu jamiiforums maana smatphones zilikuwa bei sana, bando...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jamii Forums yasifiwa kufanya kazi kwa weledi

    Mail & Guardian moja kati ya gazeti linalopigania usawa na uhuru wa kujieleza katika nchi za Kiafrika limeandika kuwa Uandishi wa Habari unapoteza maana yake kwa kuwa waandishi wa habari wana Uanaharakati na urazini katika uandishi wao. Wameandika kuwa ni vyombo vichache ambavyo hufanya kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) yatembelea Ofisi za Jamii Forums

    Kamati ya Maudhui ya TCRA ikiongozwa na Makamu Menyekiti wake, Ndugu Joseph Mapunda, imetembelea ofisi za Jamii Forums ikiwa na lengo la kujifunza mambo kadha wa kadha kuhusu Taasisi na kujionea namna huduma inavyotolewa kwa wananchi. Kamati hiyo ilipokelewa na watendaji wa Jamii Forums...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Mtoto Njiti Duniani: JamiiForums na Doris Mollel Foundation waingia makubaliano

    Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao. Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
  6. JamiiForums Tanzania What is a place to go for Students forums in Tanzania?

    Hello, Do you know any good forum site for students in tanzania to discuss and share notes, ideas?
  7. JamiiForums Tanzania Benki gani ni nzuri kwa huduma kwa wateja?

    Nimewahi kuwa na account NMB sikuwa na matatizo nao sana, niseme ukweli tu. Ni miaka imepita tulikuwa na urafiki mzuri. Nikawa NBC hawa walinikwaza kwenye kubadilisha card ya ATM ilichukua muda nikaachana nao. Nikaja DTB nimefanya nao kazi miaka 3 ATM yao ika-expire. Nilifuatilia utadhani...
  8. JamiiForums Tanzania Hodi katika jukwaa lililo bora la JamiiForums

    BWANA ASIFIWE ............. ! Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu. Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa ! Mimi nina mke mmoja mpaka kifo, na nina watoto wa kiume na kike katika familia niliyojaliwa, na Mungu aliyemwumba...
  9. JamiiForums Tanzania Forums za chuo na wanachuo

    Habari wanajamvi, Natumaini tuko salama. Bila kupoteza muda naomba kujua kama kuna mkeka (forum) ya wanavyuo, ambako wanashare fursa nk. Kama kuna anayefahamu, tuonane inbox.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu waungwana wa Jamii Forums

    Heshima yenu wakuu: Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es salaam na katika harakati za kielemu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita. Pia kupitia marafiki nimefanikiwa kuwa na ujuzi wa kutumia Computer na applications zake mbalimbali ikiwemo namna ya ku install hizo apps na kuzitumia na kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  12. JamiiForums Tanzania Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

    Amani iwe nanyi wadau! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

    Muda mrefu nimekua msomaji tu wa mada zenu nikifuatilia karibu kila post inayowekwa katika mtandao huu, nina circle ndogo sana ya marafiki na watu ninao fahamiana nao kwa muda mrefu sasa hali inayo ni fanya muda mwingi ninao upata niwe nautumia kuwasomeni enyi wakuu wangu, ninavyo vingi vya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mada za Corona viz a vis mada nyingine kwenye forums mbalimbali

    Kwa muda sasa tangia ugonjwa wa Corona umeingia miye kama mdau katika maisha ya kawaida nimekuwa nikifuatilia mwelekeo wa ugonjwa na wa mada katika forums mbali mbali. Kote mada trending zimeendelea (kama si zote) kuwa ni za kuhusiana na Corona. Nadhani ni kwa sababu kama hizo ndiyo maana hata...
  15. JamiiForums Tanzania Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

    Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
  16. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: JamiiForums ndio mtandao bora kwenye utoaji elimu japokuwa wengine waliomba corona ije kupitia hukohuko

    Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini. Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
  17. JamiiForums Tanzania Yehodaya nawaageni jamii forums nitakuwa masomoni tutaonana Sept.2020

    Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020. Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea I will miss you all
  18. JamiiForums Tanzania Top 10 threads zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi kwenye Jamii Forums

    Habari ya leo wanaJF, JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…