forums

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kufungiwa JamiiForums: Mahakama Kuu yayatupilia mbali mapingamizi ya Jamhuri. Kesi rasmi kuendelea

    Machi 25, 2026 DODOMA, TANZANIA – Katika kinachoweza kuonekana kuwa ni ushindi mkubwa kwa watetezi wa uhuru wa kidijitali barani Afrika, Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali mfululizo wa mapingamizi ya Serikali yaliyolenga kuzuia shauri la kikatiba linalopinga kufungiwa kwa mtandao wa...
  2. Traxtion

    Kumbe Jamii Forums imeshafunguliwa?

    Wakuu au ni mimi tu ndio nimechelewa kujua Mbona usiku huu ghafla nashangaa naipata Jamii Forums bila VPN Wameiachia huru lini aisee. Inawezekana nilikuwa najisumbua siku nyingi kufungua Jamii Forums kwa VPN kila muda
  3. P

    Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  4. ngara23

    JamiiForums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?

    Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025 Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi. 1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma 2. Jamii forums imeajiri vijana...
  5. Agent-47

    PostGE2025 Inakuwaje hata Jamii Forums hamjui leo ni sikukuu ya nini?

    Tanzania vs Tanganyika. Sielewi ukakasi uko wapi, bora hata ya Madelu yeye alisema Tanzania bara.
  6. jamaikatz

    Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

    Ndugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member mwenzako yupo kimya usisite kumtafuta na kumjulia hali ,ukikaa kimya pengine usikute ameshafariki bila sisi...
  7. Mafyangula

    PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

    Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
  8. Poker

    Hivi wana JamiiForums mliandamana huko mitaani kweli?

    Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja. Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook. Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au...
  9. britanicca

    Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90 Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi https://youtu.be/YLRFPaPTlOA Hatutanyamaza Britanicca
  10. ngara23

    Habari za huko TANZANIA, kufungiwa Kwa Jamiiforums ni ishara ya ushindi wa umma

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
  11. DELETED ACCOUNT

    Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  12. Damaso

    Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
  13. Maxence Melo

    Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
  14. Cybercurex

    Jamii forums app clone + modification kwa kutumia flutter

    Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo wa Flutter kwenye mobile app development, na pia kujaribu kuibua ideas mpya kwa ajili ya apps...
  15. Amba Samedi

    Idea ya Bodaboda Forums - Njoo Tuzungumze

    Habari wanadau, Naandika kwa tumaini kubwa kuwa wote tunaendelea vizuri. Ni mchana na kuna kajoto hapa Morogoro. Nashukuru Mola kwa nafasi nyingine ya kupigana. Tuendelee kupambana, kwani iko siku. Mwezi Mei mwaka 2018, nilikaribishwa na mwandishi mmoja maarufu ambaye alikuwa ameombwa na...
  16. O

    Taratibu kwa wale walio wagen huku Jamii forums

    Naombeni mnipe utaratibu huku. Ni mgeni tokea Twitter X. Nmezoea spana za kule huku vip.
  17. The Librarian

    The Need for JamiiForums Mobile Apps Feedback & Discussion Forums

    Guys kwema! Sorry, I'm looking for a forum special for discussing bugs and giving suggestions on the jamii forums app. Thanks.
  18. Hharyson

    ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 (PICHANI NI 3BEDROOMS SIMPLE HOUSE ON 25X13M PLOT)

    ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️ Naahidi kuendelea kutoa huduma...
  19. Nusratt

    Natafuta Kaka au Dada wa hiyari wa kuchat nae nje ya Jamii Forums

    Ni dada wa miaka 45 Nimepanga Sijaolewa Ni mfanyabiashara ndogondogo Niko jijini Dar Es Salaam Nitashukuru sana.
  20. Light Saber Imetosha Sasa

    Jamii Forums . Nyumbani,. kudos To Maxcence,Mike Mushi na Team Nzima ya Staff members Bila kusahau All members

    Laying this infrastructure was a crucial step. My first encounter with Demi Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook... Kuwa crushed na kupewa rules and regs.. Mshana Jr na Uzi wake wa meditation... Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa Uzi wa Naomba kuongea na...
Back
Top Bottom